Uchaguzi 2020 Lushoto, Tanga: Wananchi wamkataa na kumfukuza mgombea wa CCM, Shabani Shekilindi (Boznia)

Sasa ni dhahiri kwamba hali ya wagombea wa CCM kuanzia ngazi ya urais hadi udiwani ni ngumu. Inasemekana huyu ni mgombea ubunge wa CCM jimbo la Lushoto Mjini Bosnia amekataliwa wazi wazi bila chenga na wakazi wa jimbo lake.

View attachment 1586446

Haya ndiyo matokeo ya kuwapora watu haki yao ya kumchagua kiongozi wanayemtaka. Yawezekana wananchi na wajumbe kwenye kura za maoni walimchagua mtu mwingine, lakini kwa sababu ya mabavu ya Viongozi wa juu, basi wakampitisha huyu aliyekataliwa na watu kwa maslahi yao
 
The book of ccm is in the last page

~THE END~

Kweli kabisa, maana hii zomeazomea ilianzia kule juu sasa imefika huku chini.
Kule juu kwa sabau alikuwa namamlaka alikuwa anawaambia tu "MkiNIzomea zomea nitaondoka alafu sitawaletea maendeleo'
 
Ebu tuambiane nyie mnataka Rais ambaye alikuwa anaiabudu Lock down, aliyekuwa anawaabudu wanaotukejeli bila kuwa na lockdown, aliyekuwa ametumwa kuiponda nchi yetu kuwa hawachukui hatua za Covid-19, mnataka anayefanya maigizo kuwa watu wavae barakoa wakati mwenyewe wakati yeye mwenyewe hajavaa, anayetaka lockdown wakati yeye Mwenyewe hayupo lockdown, anayeabudu misaada ya lockdown wakati akiona wenzetu Wakenya wanavyopata taaabu saaaaana. Hivi hata Mikutano mnayoifanya hamwelewi yote ni jitihada za JPM.
Huyo huyo Pombe ametuweka lockdown kwa miaka mitano na bado tupo, tume-survive ...safari hii atafungasha tu atake asitake! Watu pekee walionufaika ni wale wale; watoto wa dada, watoto wa shangazi, watoto wa kufikia na watoto waliozaliwa kwenye mikesha ya mwenge!
 
Leta ushahidi
Kituo cha kujumuisha matokeo cha UKAWA kilivamiwa na kuporwa matokeo yao.

Kituo cha waangalizi waliokuwa wana tally matokeo ya vituo vyote pale THRDC walivamiwa pia wakaporwa matokeo yote?

Mfanano wa matokeo wa kura za urais maeneo ya shinyanga na tabora

Kura za urais kuzidi kura za ubunge rejea Tunduma na Bumbuli.

Anyway katiba/sheria zetu haitoi provision ya kupinga matokeo ya Urais mahakamani so hakuna pa kuprove ila ukweli huu hata Magufuli anaujua kuwa hakufikisha 40%
 
Sasa kama tuu sehemu alipozaliwa lowassa alimzidi magufuli kwa kura 3k ww unategemea atapata nn huko wasikomjua.?
 
Sasa kama tuu sehemu alipozaliwa lowassa alimzidi magufuli kwa kura 3k ww unategemea atapata nn huko wasikomjua.?
Nani aliyekwambia ndio kura halisi za Lowassa hizo? Hata polepole akiona comment yako hii anawadharau mlivyo kuwa brainwashed.
Kma mngetaka ukweli mngeweka kifungu cha kupinga matokeo kortini na pia mngeacha THRDC na UKAWA wajumuishe matokeo yao ya vituoni alafu mngekuja kuyaweka hadharani jinsi chadema walivyoanguka. Kuyachukua na kuyakatalia hadi leo yanaprove mlianguka.
 
Back
Top Bottom