Lundenga wewe ni mwenyekiti wa maisha?

Huyo jamaa ni kuwadi fulani wa kinamna ,pia anawamega yeye mwenyewe mwisho wa siku anapata chake. That's how he does for his living mradi watoto waende Toilet. Hii ndio Bongo bana na hasa ikizingatiwa hiyo Miss TZ ni yeye aliyeirevive baada ya kupigwa chini. The same story goes down to Elvis Musiba wa TCCIA there is nothing there but a bunch of seminars, symposium, workshops inland and abroad a lot of bluffing isn't it. Sorry for code mixing guys!
 
Hoja unayoitoa hapa ni sawasawa na kusema ni lini Regnald mengi atajiuzulu kuendesha ITV ili waiendeshe wengine.Lundenga hakuteuliwa na serikali kuendesh a miss Tanzania ila ni yeye mwenyewe kupitia kampuni yake ya Lino agent aliomba kibali cha kuandaa miss Tanzania kutoka kwa waandaaji wa miss world.Hivyo hawezi kuacha kuandaa labda atake mwenyewe kuacha au miss world wenyewe waamue kumtosa lakini si serikali wala mtu yeyote anaweza kumzuia kuandaa miss Tanzania.

kuna maswali mkuu naomba utufafanulie
1. mengi anamiliki itv na kila mtu anajua so hana sababu ya kuiachia kwani lundenga anamiliki miss tanzania? kwani miss tanzania si mashindano ya kitaifa? sijawai sikia mtu anamiliki world cup kwamba yeye yakija nchi fulani basi ni lazima yeye

2. kwani waandaji wa miss tanzania wanawajibika kwa baraza la sanaaa nchini au kwa waandaaji wa miss world?
 
Back
Top Bottom