Lunch ya geto

Lunch ya geto

Hapana pembeni yake shurti kuwe na kibeseni kingine chenye Ugali wa dona...sisi huo ndio tunaita ugali...
We unadhani huu mwili umekuja hivi hivi!!!

hahaaa kumbe siri ya huo mwili ni ugali wa dona............

naomba tu uendelee kuula kama ni hivyo....
 
ah... geto ani hilo Ndio Havana hata bakuli?
 
Kwani kuna mwanaadamu asiyekuwa na mwili?Kama nimekuelewa vizuri ukisema una mwili maanake una mwili mkubwa ulojengeka au tipwatipwa!!

Ngoja niondoe kiu yako...ni mwili mkubwa uliojengeka ukichagizwa na urefu wa kuweza kuweka balbu bila kuhitaji stuli...
 
Back
Top Bottom