Lunch ya geto

Lunch ya geto

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,590
Reaction score
28,761
Karibuni Lunch, ila mje na mboga kabisa....

1395172_736880166339273_1753141078_n.jpg
 
mbavu zangu mie,hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,kuna watu vituko vitupu dunia hii.
 
Kwa sisi Wasukuma ugali ukishapikwa kwa sembe hatuutambui kama ni ugali bali mboga...

Mwanawane unapikwa kwenye chungu harufu yake kijiji kizima mnasikia harufu, wa moto balaa ila cha ajabu watoto wanakula bila shida hakuna cha kumegewa tonge na watu wazima sijui lipoe hakuna....pembeni kuna nsansa zimemwagiwa samli acha mkuu hazitoi moshi ila za moto usiombe.
 
kumbe yule mzungu wa mzizi mkavu ndio alikuwa analipikia hili jamaa
 
hahaaa....kwa hiyo huo unalika wenyewe kama wenyewe tu LOL.....
mimi49 njoo uone maajabu ya wasukuma

Hapana pembeni yake shurti kuwe na kibeseni kingine chenye Ugali wa dona...sisi huo ndio tunaita ugali...
We unadhani huu mwili umekuja hivi hivi!!!
 
Last edited by a moderator:
kwa mpango huo nitalala na njaaa,kwahio kama ugali ndio mboga na ugali ndio upi?

Dona ndio ugali....chips, wali, pilau, sembe hivyo vyote ni mboga...

Ndio maana sisi tunakuambia 'ighembe nsabho' maana yake jembe ni mali yaani tunalima ili tule
 
Hahaha jamani haya maisha tunayakosa huku mjini...nyumbani nitarudi tena lol

Mwanawane unapikwa kwenye chungu harufu yake kijiji kizima mnasikia harufu, wa moto balaa ila cha ajabu watoto wanakula bila shida hakuna cha kumegewa tonge na watu wazima sijui lipoe hakuna....pembeni kuna nsansa zimemwagiwa samli acha mkuu hazitoi moshi ila za moto usiombe.
 
Utah shang'aa baada ya hapo akiwa anatembea na kupumua kupumua vizuri
 
Back
Top Bottom