Lunch of presider

Lunch of presider

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,210
<button class="modal-btn modal-close js-close" type="button">Close </button>
BRAN2qcCYAAngoS.jpg:large
 
Huyu Clinton anakula madikodiko yote haya halafu mwili bado umegoma? Nilitegemea awe kama IyenaIyena(Komba)
 
Kwa wakati mmoja Anamaliza hivyo vyote?
 
Huyu Clinton anakula madikodiko yote haya halafu mwili bado umegoma? Nilitegemea awe kama IyenaIyena(Komba)

Komba anakula bila mpangilio wa balance diet ndio mana mwili unakuwa waajabu!ila huyu anakula balnce diet huwezi nenepa kama komba

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Clinton alishahawi kupata cardiac attack..hvyo akashauriwa kuwa vegeterian..angalia msos wake full mboga mboga
 
Katika vyote hvyo
sijauona ugali,au c miongoni mwa chakula bora?
 
Back
Top Bottom