Lumumba, Dar: Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM imetoa siku 7 kwa Kamati yake ndogo kuwasilisha taarifa ya mahojiano ya Membe, Makamba na Kinana

Thubutu,
Juzi tu alikuwa amekumbatiana naye kigamboni.
Yule bi bmdogo. Bado hamuelewi tuu?
Kigogo kasema hivi..!
IMG-20200212-WA0019.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi vikao vya chama ilitakiwa vifanyike Weekend au siku zisizo za kazi kwa kuwa Watendaji Wakuu wa chama ni watumishi wa Umma na wanalipwa mishahara na serikali.
Hilo la wafanyikazi wa umma ni dogo, ila kufunga barabara kuna umiza umma mkubwa kuwachelewesha na msongamano wanmagari sehemu nyingi, kwa barabara moja tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila wazenji waungwana sana angalia salamu(mikono) ya Bashiru vs Shein ilivyopokelewa then cheki salamu ya Bashiru kwenda kwa Magu/Majaliwa ilivyopokelewa.

dodge
 
Wadau,

Kamati Kuu ya Halmashauri ya Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi inakutana leo Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam.

View attachment 1355238
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli akipokelewa na Katibu Mkuu Ndg Bashiru Ally

View attachment 1355241
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Ndg Ali Mohamed Shein akipokelewa na Katibu Mkuu Ndg Bashiru Ally

View attachment 1355244
Katibu Mkuu Ndg Bashiru Ally akimuongoza Mjumbe wa Kamati Kuu na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg Samia Suluhu


View attachment 1355247
Katibu Mkuu Ndg Bashiru Ally akimpokea Ndg Kassim Majaliwa, Mjumbe wa Kamati Kuu na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
*****

Nimepita maeneo ya Lumumba muda huu naona shughuli zimekuwa nyingi sana!
Hata barabara inayokatiza mbele ya Lumumba imefungwa kwa muda.

Tusubiri Yatakayojiri!

YALIYOJIRI:
Kamati ya Usalama na Maadili imepewa Siku 7 kukamilisha na kukabidhi Taarifa Ya Mahojiano Yaliyofanywa na Viongozi Wastaafu Wa CCM hivi karibuni.
akina Kinana na Makamba watakwepo,ukimwacha kachero wa gusa ni nuke
 
Back
Top Bottom