lumia710 itaniuwa jaman

lumia710 itaniuwa jaman

jaycobs

Member
Joined
Jan 11, 2013
Posts
28
Reaction score
0
Nina youtube downloder ila nkishusha ngoma inakua palepale kwen downlods mbna haiingii kwen zune music player xa??
 
Hili nadhani haliwezekani kwenye WP7.5 kila app inajitegemea na files zake na haziwezi kuguswa na app nyingine kasoro some special files kama pdf zinakuwa associated na reader. i.e hakuna kushare files baina ya apps, na ukiuninstall hiyo downloader files zote zitaondoka na app.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom