Mtoto shetani wa kike. Hivi jamani huwa kuna shetani wa kike. Ninavyojua Lusifeli alikuwa shetani mwanaume au nakosea, sina uhakika!!! Mara nyingi vitabu vya dini havitoi jinsia ya mashetani, malaika etc
Pole sana Lulu, umdogo sana kukutana na mitihani iliyokukuta. Naomba Mungu usiwe na mimba kweli, vinginevyo huyo mtoto atakuumiza au wewe kumuumiza maisha yake yote.