Wasanii hao walibambwa Live wakifanya mchezo mbaya au uzinzi ndani ya gari la mwigizaji lulu usiku mnene maeneo ya Mbezi beach, askari waliokuwa wakifanya doria waliwabamba live ambapo wasanii hao waliomba wayaongee pembeni ili siri isifuje kwa raia. LULU alipopigiwa simu kujibu mashtaka hayo alikata simu haraka haraka
SOURCE:GOSSIP COP-SOUDY BROWN-CLOUDS FM

Lulu gani!!!!!!!
Kuna huyo aunty Lulu naye wanamwita hivyo hivyo.Kuna thread ikimuhusu yeye na jamaa anayeitwa Bond mwenye michezo mibaya binti akilalamika.Ukisikia Lulu basi ujuwe ni yuleyule wa Capten Komba ambaye miaka yake ya kuzaliwa inaenda mbele na kupiga revasi.
Sasa ndo nimeshauleta humu jf,unaamuaje kwa mfano??
Lulu yule mjane kijana
Huyo ni Michael Lulu...Uvumi huo ucheki hapa,,,,kwani ni vibaya akinasuliwa!!!Michael Lulu Anaswa Na Young D Wakilana Uroda - bkuHABARI