Wala Lulu wewe( First Born)kumbuka tu Lulu sio muuaji na yuko ndani kama mtuhumiwa na pia hakumuuwa Kanumba lazima muelewe hivyo nyie ambao hata sheria hamzifahamu ni kwamba yule anasaidia Polisi na kama sheria hazitapindishwa mtamuona mtaa muda si mrefu she is innocent.Tatizo ni kwamba wakati marehemu anafariki yeye Elizabeth Michael alikuwa naye hapo ndio lazima asaidie na madoctor walisema kafa kwa ugonjwa wa ubongo lakini wewe usiyetaka kuelewa sifahamu unatoka nchi gani?Nakupa akiba ya maneno na wewe yaweza kukutokea kama yaliyomtokea Lulu,so you dont have to say oooh she is too bad kwa wale wanaoelewa watamuona hana hatia lkni kwa watu kama wewe huenda ukaelewa baadae,Naukumbuka mwl wangu wa Physics alikuwa anatuambia kama hamjaelewa leo basi mtaelewa kesho so ndi kama wewe First born