tangu niwe memba hapa jf,swali lako ni bora kuliko yote nilokutananayo..nafkir hizi ndo sabb zinazosababisha waafrika tuwe slow kimaendeleo!Eti jamani sasa kama ushahidi haujakamilika na hatakiwi kujibu chochote.Kwanini walipanga kesi isikilizwe leo.msaada tafadhari
Mtoto mzuri, nguo zimempa heshima, amepungua umbo , lakini tumbo................
Naona nguo ndefu hazimuashi leo, she still a baby. I just pity her
Mwigizaji Maarufu wa filamu za Kibongo Elizabeth Michael Lulu leo majira ya saa nne asubuhi amepandishwa kizimbani kwa mara ya pili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam na kusomewa shitaka la kumuua Steven Kanumba. Baada ya kusomewa shitaka hilo na Mwendesha Mashitaka Mkuu wa Mahakama hiyo Elizabeth Kaganda mbele ya Hakimu Rita Tarimo hakutakiwa kujibu lolote. Mwendesha Mashitaka huyo alisema upelelezi wa kesi hiyo bado haujakamailika hivyo kesi hiyo iliahirishwa mpaka Mei 7 mwaka huu.
Source: LULU APANDISHWA KIZIMBANI CHINI YA ULINZI MKALI - Global Publishers