Aliemuingizia mtoto uume wake mdomoni kizimbani Tabora

TheCrocodile

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2021
Posts
1,841
Reaction score
5,152
Kijana anayefahamika kwa jina la Ibrahimu Said maarufu kitundu leo Aprili 17, 2026 amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya hakimu mkazi wilaya ya Tabora akituhumiwa kwa kosa la kumuingizia uume wake mdomoni mtoto wa kiume (6) jina tunalihifadhi tukio ambalo anadaiwa kulifanya majira ya saa sita mchana huko mtaa wa Nyerere kata ya Ipuli Manispaa ya Tabora.

Ibrahimu Said maarufu kitundu (18) katika shauri hilo la namba 8227 la mwaka 2026 anadaiwa kutenda kosa hilo la shambulio la aibu Marchi 22 mwaka 2026 huko katika mtaa wa Nyerere kata ya Ipuli manispaa ya Tabora baada ya kumchukuwa mtoto huyo nyumbani kwao na kwenda naye kwenye kibanda cha kurushia filamu ambapo akamdanganya na kumuwekea uume wake Mdomoni akimtaka aunyonye kwa ajili ya kujifurahisha kingono

Katika maelezo ya awali ya kosa yaliyowasilishwa mahakamani hapo na wakili upande wa Jamuhuri Steven Mzava mtuhumiwa Ibrahimu Said maarufu kitundu anadaiwa kutenda kosa hilo la shambulio la aibu kinyume na kifungu namba 138 C (1) na (d) (2) (b) sheria ya kanuni ya adhabu sura ya 16 iliyofanyiwa marejeo mwaka 2023

Mbele ya hakimu katika mahakama hiyo ya wilaya Demetrio Nyakunga mtuhumiwa Ibrahimu Said maarufu kitundu alikana kutenda kosa hilo huku mahakama ikizuia dhamana kwa mtuhumiwa huyo kwa ajili ya usalama wake kutokana na kosa aliloshitakiwa nalo mahakamani hapo

Hata hivyo shauri hilo limeahirishwa hadi tarehe 29 Aprili mwaka huu kesi hiyo itakapotajwa tena huku mutuhumiwa akipelekwa mahabusu.
Video:
View: https://www.facebook.com/share/v/1GQEuXUjUV/
 
Kitundu kazingua sana.
Kuna mjinga mwingine naye alikuwa anafanya kazi kwenye familia yenye mtoto mchanga. Wazazi wakawa wanashangaa mtoto kila anapolia watu wengine wakimbembeleza hanyamazi lakini huyo jamaa akiingia ndani mtoto ananyamaza. baadae ndiyo wakaja kugundua kuwa alikuwa anampa uume wake anyonye. Kna mama walimwangushia kipigo kikali wakakata uume wake.
 
Hayo ni madhara ya kutazama sana Picha na video za Ngono.,

Siku hizi kuna mademu ukinunua kwa Elfu tatu tu (3,000) unakula mzigo na anakupelekea na maji ya kuoga bafuni.

Wanawake walivyo wengi siku hizi, wanajiuza kwa bei sawa na bure na bado unaenda kuharibu mtoto wa kiume kisa nyegge za kipumbavu tu.

Kama itathibitika kafanya huo Ushenzi, adhabu kali sana itolewe kwake ili iwe funzo kwa wengine. Nasisitiza apewe adhabu kali sana.
 
Kijana anayefahamika kwa jina la Ibrahimu Said maarufu kitundu leo Aprili 17, 2026 amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya hakimu mkazi wilaya ya Tabora akituhumiwa kwa kosa la kumuingizia uume wake mdomoni mtoto wa kiume (6) jina tunalihifadhi tukio ambalo anadaiwa kulifanya majira ya saa sita mchana huko mtaa wa Nyerere kata ya Ipuli Manispaa ya Tabora.

Ibrahimu Said maarufu kitundu (18) katika shauri hilo la namba 8227 la mwaka 2026 anadaiwa kutenda kosa hilo la shambulio la aibu Marchi 22 mwaka 2026 huko katika mtaa wa Nyerere kata ya Ipuli manispaa ya Tabora baada ya kumchukuwa mtoto huyo nyumbani kwao na kwenda naye kwenye kibanda cha kurushia filamu ambapo akamdanganya na kumuwekea uume wake Mdomoni akimtaka aunyonye kwa ajili ya kujifurahisha kingono

Katika maelezo ya awali ya kosa yaliyowasilishwa mahakamani hapo na wakili upande wa Jamuhuri Steven Mzava mtuhumiwa Ibrahimu Said maarufu kitundu anadaiwa kutenda kosa hilo la shambulio la aibu kinyume na kifungu namba 138 C (1) na (d) (2) (b) sheria ya kanuni ya adhabu sura ya 16 iliyofanyiwa marejeo mwaka 2023

Mbele ya hakimu katika mahakama hiyo ya wilaya Demetrio Nyakunga mtuhumiwa Ibrahimu Said maarufu kitundu alikana kutenda kosa hilo huku mahakama ikizuia dhamana kwa mtuhumiwa huyo kwa ajili ya usalama wake kutokana na kosa aliloshitakiwa nalo mahakamani hapo

Hata hivyo shauri hilo limeahirishwa hadi tarehe 29 Aprili mwaka huu kesi hiyo itakapotajwa tena huku mutuhumiwa akipelekwa mahabusu.
Video:
View: https://www.facebook.com/share/v/1GQEuXUjUV/

Aaah qmmk wallah kitundu kampigisha Bj dogo!
20251120_165900.jpg
 
Ushahidi ukikamilika kwa wakati fungwe haraka iwezekanavyo ili iwe funzo kwa wajinga wengine.
 
Back
Top Bottom