Abdullah Almendhiry Member Joined Jan 10, 2013 Posts 16 Reaction score 4 Jan 28, 2013 #21 hana kitu maafande washatosheka muhimu condom mbili mbili
JosephElly JF-Expert Member Joined Jun 5, 2012 Posts 2,432 Reaction score 1,035 Jan 28, 2013 #22 Kipipi said: Inamaana hiyo konkasheni imebandikwa kwa lulu tu jamani? Sio vizuri nyie . . . . Click to expand... mmh... Hilo nalo neno.... Unaweza sikia Donn kapotezwa kwa kusukumwa na Kipipi .... Ngoja nijihadhari tu Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kipipi said: Inamaana hiyo konkasheni imebandikwa kwa lulu tu jamani? Sio vizuri nyie . . . . Click to expand... mmh... Hilo nalo neno.... Unaweza sikia Donn kapotezwa kwa kusukumwa na Kipipi .... Ngoja nijihadhari tu
A Ave Ave Maria JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 10,707 Reaction score 5,682 Jan 28, 2013 #23 Donn said: mmh... Hilo nalo neno.... Unaweza sikia Donn kapotezwa kwa kusukumwa na Kipipi .... Ngoja nijihadhari tu Click to expand... Donn we acha tu . . . .humu duniani kuna njia nyingi sana mpendwa wangu na dhahma hazipiti na miti bali binadamu. Roho yaniuma sana kila nisikiapo kuhusu hiyo habari. Tuombeni dua tu Allah atulinde sisi sote na vizazi vyetu pia!!! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Donn said: mmh... Hilo nalo neno.... Unaweza sikia Donn kapotezwa kwa kusukumwa na Kipipi .... Ngoja nijihadhari tu Click to expand... Donn we acha tu . . . .humu duniani kuna njia nyingi sana mpendwa wangu na dhahma hazipiti na miti bali binadamu. Roho yaniuma sana kila nisikiapo kuhusu hiyo habari. Tuombeni dua tu Allah atulinde sisi sote na vizazi vyetu pia!!!
C.T.U JF-Expert Member Joined Jun 1, 2011 Posts 5,080 Reaction score 3,769 Jan 29, 2013 #24 Chilli said: We umetumwa nini? Peleka uchafu wako mbali na hapa. Ohoo! Click to expand... Povu la nini sasa mkuu... Nikuletee maji?
Chilli said: We umetumwa nini? Peleka uchafu wako mbali na hapa. Ohoo! Click to expand... Povu la nini sasa mkuu... Nikuletee maji?
JosephElly JF-Expert Member Joined Jun 5, 2012 Posts 2,432 Reaction score 1,035 Jan 29, 2013 #25 My Kipipi Gud 9t bana... Usianze tafakari bana... ®Nakesha© Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
kyanaKyoMuhaya JF-Expert Member Joined Jul 8, 2012 Posts 1,952 Reaction score 939 Jan 29, 2013 #26 figganigga said: watu8, Slave, Donn, Arushaone, Mzee wa Rula, Jiwe Linaloishi, KakaKiiza, Thanda, na wengieno. tembeeni kwa step. 😛oa: mia Click to expand... Kweli wewe ni: Attachments image.jpg 7.5 KB · Views: 23 image.jpg 47.1 KB · Views: 24
figganigga said: watu8, Slave, Donn, Arushaone, Mzee wa Rula, Jiwe Linaloishi, KakaKiiza, Thanda, na wengieno. tembeeni kwa step. 😛oa: mia Click to expand... Kweli wewe ni:
JiweLinaloishi JF-Expert Member Joined May 24, 2008 Posts 3,737 Reaction score 2,139 Jan 31, 2013 #27 figganigga said: watu8, Slave, Donn, Arushaone, Mzee wa Rula, Jiwe Linaloishi, KakaKiiza, Thanda, na wengieno. tembeeni kwa step. 😛oa: mia Click to expand... aahh kwakuwa mi siyo muwindaji haram ... hanipati
figganigga said: watu8, Slave, Donn, Arushaone, Mzee wa Rula, Jiwe Linaloishi, KakaKiiza, Thanda, na wengieno. tembeeni kwa step. 😛oa: mia Click to expand... aahh kwakuwa mi siyo muwindaji haram ... hanipati