Lulu atua Nyumbani kwa Sajuki

Lulu atua Nyumbani kwa Sajuki

Sijui niongeze mke wapili? maana mjane wa sajuki.... Acha tu
 
Duh nimeishiwa pumzi...

lulu%20wastara%201.jpg
 
naona sahizi anafugika tukianzia mavazi ila ngoja upepo upite sasa mmmmh.

Utamsikia ooh huwaga zinaniwasha, kinabalaa kitoto hicho!

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
 
Lulu ni yupi kati ya hao? alifanya nini akaenda hapo? kuna nini anachangia katika pato la taifa?
 
Yaani mimi hiyo ngozi nyeupe hata 5 nawavuta ndani.Tena sura kama hiyo Duuu.Ngoja nipite nisije nikamkasirisha marehemu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom