Lulu atua Nyumbani kwa Sajuki

Lulu atua Nyumbani kwa Sajuki

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
MWISHONI mwa wiki iliyopita, msanii Elizabeth Michael “Lulu” alikwenda kumpa pole msanii mwenzake Wastara Juma kwa kufiwa na mumewe, Sajuki.
lulu%20wastara%201.jpg

lulu%20wastara%203.jpg

lulu%20wastara%203.jpg

Huzuni ilitawala nyumbani kwa Wastara mara baada ya Lulu kuwasili, lakini hatimaye baada ya muda mrefu wa maongezi nyuso za wasanii hao zikapambwa na tabasamu.

CHANZO: saluti5.com

 
naona sahizi anafugika tukianzia mavazi ila ngoja upepo upite sasa mmmmh.
 
Kwani ilikuwa ni lazima kupiga picha na kuzileta kwenye mitandao?
 
Sasa picha zenyewe mbona wamezichafua?au ndio kujitangazia ka blog kao kachovu,wakapige picha mazoezi ya Al-qaeda wazilete huku ndiyo kidogo atakamata.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom