Lulu atoroka

Lulu atoroka

Leak

Platinum Member
Joined
Feb 22, 2012
Posts
52,939
Reaction score
43,568
Msichana mmoja aliye julikana kwa jina la lulu kanda mwenye umri wa miaka tisa,ametoroka nyumbani kwao uko tabata baada ya kupigwa na baba yake mzazi .
Lulu alikuwa amevaa nguo na viatu
kwa atakaye muona lulu akae nae nyumbani kwake mpaka afikishe miaka 18.
 
Sii kavaa nguo au?kama ndiye basi nimemuona "kesho na keshokutwa"nilimuona maeneo ya sinza mkuu.
 
Msichana mmoja aliye julikana kwa jina la lulu kanda mwenye umri wa miaka tisa,ametoroka nyumbani kwao uko tabata baada ya kupigwa na baba yake mzazi .
Lulu alikuwa amevaa nguo na viatu
kwa atakaye muona lulu akae nae nyumbani kwake mpaka afikishe miaka 18.

haya ni matatizo ya kuvuta bangi bila kula!
 
aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaagh, ghghghghghghghggh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Dah!huyu hapa anapita mitaa ya mikocheni mluzi pyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu! mbona hageuki au huwa hasikii vizuri.
 
Huyu hapa, si ana ngeu za panga mapajani ?
 
Da! Kwahiyo Lulu yupo mmoja tu hapa Duniani?
Watu wanavyolalama!!
 
Back
Top Bottom