Anavyo 2 na vyote vinautata 1 kinaonyesha kazaliwa moshi na kingine kazaliwa dar,na vyote vina majina tofauti,na hata wazazi wake wanatofautiana hospital aliyozaliwa.So ni usanii juu ya usani.
kudanganya umri ili kupata:
Cheti cha kuzaliwa(kutengeneza kipya)
Pasi ya kusafiria
Leseni ya udereva
..................
..................
Vyote hivyo kisheria ni makosa, hivyo huyu binti bado ana kesi ya kujibu.
Hee....hii kali! Au umeongeza 'chumvi' mkuu?Anavyo 2 na vyote vinautata 1 kinaonyesha kazaliwa moshi na kingine kazaliwa dar,na vyote vina majina tofauti,na hata wazazi wake wanatofautiana hospital aliyozaliwa.So ni usanii juu ya usani.
Nyie mawakili wa serikali fuatilieni mambo haya ili kupata ukweli uliyo beyond the shadow of doubt: moja, kwa kuangalia alizaliwa hospitali ipi, ili makaangalie records zake, yaani toka mama yake anaudhuria clinic na siku ya kuzaliwa kwake na kuruhusiwa ila kama hakuzaliwa nyumbani. Pili, angalieni records za maendeleo ya mtoto kwenye clinic ya watoto under five aliyokuwa anahudhuria. Tatu, muombeni a-present kadi yake ya clinic when under five. Nne na mwisho, nendeni kule alikoanza kusoma hasa records zake za standard one and form one enrolments.
JK atakuwa kamwondolea aibu wakili wake Jaquina kwa kumteua kuwa jaji ila inaonyesha jinsi wakili hakuwa makini na sasa ndio jaji, je atakuwa jaji makini?
Umalaya mbaya wampime na ukimwi
Tatizo serikali yetu ya Jamhuri ni DHAIFU.
Kwa mtu kuwa na vyeti viwili vya kuzaliwa (Nyaraka za Jamhuri) na kuziwakilisha Mahakamani,Hilo tu ni kosa tosha la kughushi Nyaraka za Jamhuri. Ilitakiwa apewe takribani miaka 5 kwa hilo tu,ili wananchi tujifunze kuwa na adabu ya sheria za Jamhuri na Mahakama.
Kama ana leseni ya gari na pasi ya kusafiria (Nyaraka za Jamhuri) na zote akiwa ametia sahihi yake na vidole vyake kukiri kwamba yeye ana umri zaidi ya miaka 18,Nafikiri ni vyema na haki kwa Sheria ya Jamhuri kumchukulia kama hivyo. Hii itatufundisha wale wote tuliozoea magumashi...siku ikitokea bahati mbaya ndio utajua maharage sio mboga ni kiungo cha makande tu.
Tafakari!
Anavyo 2 na vyote vinautata 1 kinaonyesha kazaliwa moshi na kingine kazaliwa dar,na vyote vina majina tofauti,na hata wazazi wake wanatofautiana hospital aliyozaliwa.So ni usanii juu ya usani.
Lulu ana miaka 18 kabisaa, alisoma perfect vision na mie ndo nilimsajili. wakati anasajiliwa alikuwa na miaka 13 na hyo ilikuwa mwaka 2007 mwishoni alipokuja kuchukua form. sasa 2007 alikuwa na miaka 12 je 2012 atakuwa na miaka mingapi?? hii sintofahamu ya miaka imekuja tu baada ya huu msala wa kifo cha kanumba. hata ungekuwa wewe lazima ungetafuta pa kutokea
Alikuwa ana 12 au 13?which is which?
Tuletee form alizojaza natumaini zitakuwa na maelezo ya umri kama hio shule iko makini.
Naomba utusaidie Mr Msajili.
Mkuu Bajabiri, unategemea kama angekuwa mtoto angeweza kweli kumbeba na kumhudumia mkurugenzi wa TOT na hilo tumbo lake?Kuna haja ya kuwa na vitambulisho vya URAIA,,,,kumbe mtu mzima,,,hata huko jela anafaa kuliwa
Wewe umepima?
forensic people tumien carbon fourteen mtajua ana umri gani faster!! au tumieni nguvu za mabuti ya mwemaaaaa, kamata baba/mama ya toto weka ndani yeye taeleza wapi naundia hii toto!
Asante Angel.yaani mtu na akili zako unatuambia alisema ana 18 kwenye tv show au movie hiyo ndio proof ya umri wake?this is ridiculous!teenagers dunia nzima wanadanganya umri ili waingie club,wanunue sigara,wanunue pombe!tena kwenye nchi ambazo wako strict itakuwa Lulu!kadanganya ili apate driving license na passport aweze kusafiri(shwa) na kasaidiwa na watu wazima wasio na utu wala aibu....