CCM wananishangaza wako wenyewe alafu wanapanic na kutukana why?, is that their nature or ?huenda wakahojiwa na Kamati ya Maadili ya CCM kwa kauli zao za vitisho na uchochezi. Yumo pia Balozi Ali Karume.
huenda wakahojiwa na Kamati ya Maadili ya CCM kwa kauli zao za vitisho na uchochezi. Yumo pia Balozi Ali Karume.
Hao siyo watu wa kuhojiwa bali wa kufikishwa kwenye nyombo vya dola kujibu mashtaka ya uchochezi.:shetani:huenda wakahojiwa na Kamati ya Maadili ya CCM kwa kauli zao za vitisho na uchochezi. Yumo pia Balozi Ali Karume.
Kwani hili ni suala la maadili ya chama au suala la jamhuri/kesi ya jinai,lakini kwa ccm inawezekana!!inavyoonekana wameshindwa kutofautisha masuala ya chama na serikali!!huenda wakahojiwa na Kamati ya Maadili ya CCM kwa kauli zao za vitisho na uchochezi. Yumo pia Balozi Ali Karume.
huenda wakahojiwa na Kamati ya Maadili ya CCM kwa kauli zao za vitisho na uchochezi. Yumo pia Balozi Ali Karume.
Lukuvi std 7, Komba a.k.a. Baba Lulu std 7, sasa hapo unatarajia nini? Akili ndogo kuongoza akili kubwa?
..how about JK?
..unajua matatizo mengi sana ya CCM yanaanzia na JK.
..mtandao, makundi, rushwa ktk uchaguzi, vyote vimetokana na ambitions za JK kuwa Raisi.
..Richmond nayo inaelekea mhusika ni JK kwasababu haiyumkiniki Waziri Mkuu akiuke maagizo ya baraza la mawaziri bila kuwa na baraka za Raisi.
..hata hivyo vitisho alivyotoa Lukuvi ni kama ameiga tu kwa JK.
..sasa mnasema kamati ya maadili itamhoji Lukuvi, kwanini kamati hiyo haianzi na kuifanyia kazi ripoti ya Philip Mangula ambayo ilimtuhumu JK kwa kukihujumu chama??
cc Pasco, Nguruvi3, Mag3
Maneno yako ni kweli tupu. Intarahamwe watatumaliza, hawana hata soni.Wahojiwe wakati hata Mkuu wa nchi aliyaongea hayo hayo tena mchana kweupe!
Nchi hii haiendelei kwa sababu wananchi wengi wanapenda kukejeliwa na kudharauliwa!
Kesi ya nyani, kwenda kwa ngedere.