Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 15,242
- 16,386
Kuna haja gani kwa serikali kuingia gharama kupeleka maofisa wake sehemu husika kwa watu wanaojihusisha na madawa???
Bora leo umeona mbali, ni aibu sana hii.
Kuna haja gani kwa serikali kuingia gharama kupeleka maofisa wake sehemu husika kwa watu wanaojihusisha na madawa???
Umeongea ukweli mkuu basi tu kamchina kangu hakaonyeshi vitufe vya like ningekugongea kiongoziwewe jiulize watanzania wangapi walikamatwa nchi zanje kabla ya akina MASOGANGE na lukuvi hajawahi kwenda huko wala kuzungumzia.Hapa kuna namna, ule mzigo ni wa kwao!! iko siku watajuta kuharibu uchumi wa nchi yetu huku wao wakijenga majumba ya bilions of shillings.
kuna mabondia walikamatwa shelisheli Lukuvu hatujawahi kumsikia akisema lolote.kuna watu wamekamatwa Brazil na italy lakini hatukuwahi kusikia mwanasiasa yoyote akienda kuwajulia hali na kuanza mipango ya kuwarejesha Nchini.SASA NI DHAHIRI WANASIASA TENA WA NGAZI ZA JUU WAMEINGIA KWENYE BIASHARA HII HARAMU.Na ndio maana kule bungeni lukuvi alikataa kuwataja wauza unga alijua kinacho endelea.
nchi hii bwana ..hivi mwakyembe kaishia wapi na mambo yake ya kupambana na kutaja majina ya wauza unga..?maana naona kahamia TPA ...hahaa huyu mzee bana
Kuna haja gani kwa serikali kuingia gharama kupeleka maofisa wake sehemu husika kwa watu wanaojihusisha na madawa???
Wameamua kubuni ujasiriamali mpya baada ya mianya ya EPA and the like kuzibwa wakati 2015 iko mlangoni tayari japo viongozi binafsi wanaonekana kunufaika zaidi ya chama chenyewe. Tatizo ujasiriliamali waliobuni side effects zake ni mbaya sana maana tembo wanaisha, nchi inagawiwa (refer balozi anayesimama majukwaani Shinyanga) na hivi vijana wetu wanaishia magerezani na wengine kuwa mateja. Sijui wananchi wapenda haki tufanyeje badala ya kusubiri Mungu ndiye atoe hukumu!?wewe jiulize watanzania wangapi walikamatwa nchi zanje kabla ya akina MASOGANGE na lukuvi hajawahi kwenda huko wala kuzungumzia.Hapa kuna namna, ule mzigo ni wa kwao!! iko siku watajuta kuharibu uchumi wa nchi yetu huku wao wakijenga majumba ya bilions of shillings.
kuna mabondia walikamatwa shelisheli Lukuvu hatujawahi kumsikia akisema lolote.kuna watu wamekamatwa Brazil na italy lakini hatukuwahi kusikia mwanasiasa yoyote akienda kuwajulia hali na kuanza mipango ya kuwarejesha Nchini.SASA NI DHAHIRI WANASIASA TENA WA NGAZI ZA JUU WAMEINGIA KWENYE BIASHARA HII HARAMU.Na ndio maana kule bungeni lukuvi alikataa kuwataja wauza unga alijua kinacho endelea.
Kilo 150 za Methamphetamine zimegeuka kuwa ephedrine overnight!!!!
Wa south wakomae na hao wadada, aibu kubwa sanawewe lukuvi....
Tena ni South Africa tu, siyo Ethiopia, Dubai, Brazili au Hong Kong!Kuna haja gani kwa serikali kuingia gharama kupeleka maofisa wake sehemu husika kwa watu wanaojihusisha na madawa???