Lukuvi kuruhusu malori kubeba wanafunzi ni sawa???

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,906
22,050
Huko tanga dereva na mmiliki wa lori lililosababishwa vifo vya watoto
18 kwa kubeba watoto wa shule wakitarajiw akufikishwa mahakamani kwa ukiukwaji
wa sheria kwa kubeba wanafunzi..watanzania wamejiulza ni sheria gani iliomruhusu
mkuu wa mkoa wa dar es salaam mh lukuvi kuruhusu malori kubeba wanafunzi
kwenu watanzania!#@##
 
kisheria gari la mizigo haliruhusiwi kubeba abiria,lakini huko ambako LUKUVI ameruhusu hakuna mabasi yanayopita kwasababu ya njia hivyo malori ndio usafiri wa kila siku,vilevile hata wanafunzi wakipelekwa shule na ndege kama inaendeshwa na dereva aliyelewa cocktail ya BANGI,MIRUNGI na GONGO matokeo yake ndio kama ya huko tanga.
 
huyu Lukuvi si wa la saba huyu? harafu nazani hata hilo saba, nhhhuu!!
hayo mawazo ya kubebea watoto maroli, hayaniingii akilini kabisaaa
ina maana huo ndiyo mwisho wake wa kufikiria?
 
Huko tanga dereva na mmiliki wa lori lililosababishwa vifo vya watoto
18 kwa kubeba watoto wa shule wakitarajiw akufikishwa mahakamani kwa ukiukwaji
wa sheria kwa kubeba wanafunzi..watanzania wamejiulza ni sheria gani iliomruhusu
mkuu wa mkoa wa dar es salaam mh lukuvi kuruhusu malori kubeba wanafunzi
kwenu watanzania!#@##

.
Sheria ya usalama wa abiria ni kufunga mkanda sasa kwenye lori watajifunga pingu katika bomba za lori au watavaa helmet? Serikali yetu ni kalumekenge ambae amezoea mteremko haitaki kutukia gharama kuboresha miundo mbinu yake ila inajaribu kuyasukumia majukumu yake kwa wananchi. Kuliko wanunue magari ya wanafunzi ni afazali sheria ya usafirishaji abiria ikiukwe kwa kufuata malori ya dezo. Gharama za usafirishaji wanafunzi jijini serikali imelisukumia tatizo kwa wamiliki mabasi kutoza robo nauli. Kwa nini basi serikali isigharamie kwa kutoa punguzo la bei ya mafuta? Au walau kusamehe kiasi cha kodi ya mafuta? Mibarabara jijini badala ya kugharimia vivuko wamabaki kuweka mituta tena ya migongo mirefu ktk barabara za jiji hadi katika barabara kuu(highways). Hivyo Lukuvi yuko sawa maana ni mtumishi wa serikali iliyolundikana viongozi wanajeshi ambao kawaida yao ni miguvu kuliko akili.
 
Back
Top Bottom