tatizo kwa wana jf na ukawa kuwa na agenda ng'ang'anizi kwa kuwa hawataki kusikia jema la chama tawala kilichochaguliwa na watu. Ukweli ni kwamba lukuvi kaweka ukweli hadharani.wanaweza kuwa na ukakasi wa mahali alipousemea lakini ukweli huu ndio utaliweka taifa huru kweli kweli
Kama ungeniuliza mimi ningekwambia kwamba sina uhusiano wowote na Mbowe, lKini Lukuvi nina uhusiano naye, kwa sababu ana nafasi ya kitaifa. Lazima tuzungumze juu ya ubora dhaifu wa Lukuvi. Kwa nini kila mukiulizwa juu ya kikwete muna anti kwa kuuliza juu ya slaa. Mumeulizwa juu ya Lukuvi, anti yenu ni Mbowe. Who is mbowe? Kwani kila anayeuliza ni cdm?
tunauliza juu ya ubora wa watendaji wa serikali, Wanatuhusu na wanagusa maisha yetu.
Hata kama nchi hii ni himaya ya wapumbavu, ni vibaya sna kuwa na watendaji wabovu kiwango cha Lukuvi! Na ktk hawa wapumbavu, ni kweli hakuna mwenye nafuu kuliko Lukuvi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.