Lukuvi Awalipua tena UKAWA Bungeni Dodoma

CCM are living in fools paradise. Sijui lini watakubali wakti umebadilika.
 
Mheshimiwa Lukuvi kwa mara nyingine amesema maneno yanayochoma sana bungeni muda huu. Amesema kuwa wabunge wa UKAWA wanasema kuwa wana mkanda wa video unaomuonesha Lukuvi akileta uchochezi wa kidini kanisani. Amesema kuwa kama wao wana video moja, yeye anazo zaidi ya 20 (amezionesha) ambazo zinawaonesha viongozi mbalimbali wa upinzani wakileta uchochezi kwenye nyumba za ibada. Anasema kuwa viongozi wa CUF ndio wameasisi wa siasa za udini nchini kutokana na kauli zao na matendo yao. Amewaonya wabunge wa upinzani kwa kitendo chao cha kuendelea kudodosa mambo wasiyoyajua kwa vile yeye anao ushahidi wa kutosha juu ya uchochezi wa viongozi wa UKAWA. Anasema kuwa baadhi ya viongozi wa UKAWA wamemuomba asiseme sana ili wasiumbuke hivyo na yeye ameheshimu maombi hayo ili asiharibu hali ya hewa. Amesema kuwa ndani ya UKAWA kuna usaliti wa hali ya juu kiasi ambacho ni vigumu tena kujiaminisha kuwa wanasimamia matakwa ya wananchi. Amesema kuwa bunge la bajeti halipo kwa malengo ya kuvurugana kutokana na itikadi za kisisa. Amewaomba wabunge wa UKAWA kurudi kwenye bunge la Katiba huko ndiko mambo yatawekwa hadharani. Hakika wakati Lukuvi anaongea, nimewaona wabunge wa UKAWA wakiinamisha macho chini kwa aibu. Viva Lukuvi
amewalipua au amejilipu! Niulize tu!; wewe lukuvi ulipoona huo uvunjifu wa sheria ya nchi unafanyika ulichukua hatua gani?
 
Bora Mkuu Elli kuliko hawa wanaojifanya wanajua kumbe ni waropokaji tu
nimegundua kuwa topic nyingi zinaanzishwa kishabiki na hazina mashiko maana alichoongea Lukuvi na kilichoandikwa hapa ni aibu sana sana hata kama mtu analipwa sidhani kama anawexza kujidhalilisha kaisi hiki, ngoja nijiandae kuanza sabato mie
 
Mheshimiwa Lukuvi kwa mara nyingine amesema maneno yanayochoma sana bungeni muda huu. Amesema kuwa wabunge wa UKAWA wanasema kuwa wana mkanda wa video unaomuonesha Lukuvi akileta uchochezi wa kidini kanisani.

Amesema kuwa kama wao wana video moja, yeye anazo zaidi ya 20 (amezionesha) ambazo zinawaonesha viongozi mbalimbali wa upinzani wakileta uchochezi kwenye nyumba za ibada. Anasema kuwa viongozi wa CUF ndio wameasisi wa siasa za udini nchini kutokana na kauli zao na matendo yao.

Amewaonya wabunge wa upinzani kwa kitendo chao cha kuendelea kudodosa mambo wasiyoyajua kwa vile yeye anao ushahidi wa kutosha juu ya uchochezi wa viongozi wa UKAWA. Anasema kuwa baadhi ya viongozi wa UKAWA wamemuomba asiseme sana ili wasiumbuke hivyo na yeye ameheshimu maombi hayo ili asiharibu hali ya hewa.

Amesema kuwa ndani ya UKAWA kuna usaliti wa hali ya juu kiasi ambacho ni vigumu tena kujiaminisha kuwa wanasimamia matakwa ya wananchi.

Amesema kuwa bunge la bajeti halipo kwa malengo ya kuvurugana kutokana na itikadi za kisisa. Amewaomba wabunge wa UKAWA kurudi kwenye bunge la Katiba huko ndiko mambo yatawekwa hadharani.

Hakika wakati Lukuvi anaongea, nimewaona wabunge wa UKAWA wakiinamisha macho chini kwa aibu. Viva Lukuvi
Lukuvi hao ukawa wana madaraka serikalini?yeye Lukuvi ni waziri hao viongozi wa UKAWA ni viongozi wa vyama vya siasa.Haoni tofauti ktk kutoa kauli?
 
Tusiwaruhusu wanasiasa watupandikizie chuki katika jamii. Ni upuuzi kushangilia na kushabikia kauli au matendo yanayotugawa.
 
Mheshimiwa Lukuvi kwa mara nyingine amesema maneno yanayochoma sana bungeni muda huu. Amesema kuwa wabunge wa UKAWA wanasema kuwa wana mkanda wa video unaomuonesha Lukuvi akileta uchochezi wa kidini kanisani.

Amesema kuwa kama wao wana video moja, yeye anazo zaidi ya 20 (amezionesha) ambazo zinawaonesha viongozi mbalimbali wa upinzani wakileta uchochezi kwenye nyumba za ibada. Anasema kuwa viongozi wa CUF ndio wameasisi wa siasa za udini nchini kutokana na kauli zao na matendo yao.

Amewaonya wabunge wa upinzani kwa kitendo chao cha kuendelea kudodosa mambo wasiyoyajua kwa vile yeye anao ushahidi wa kutosha juu ya uchochezi wa viongozi wa UKAWA. Anasema kuwa baadhi ya viongozi wa UKAWA wamemuomba asiseme sana ili wasiumbuke hivyo na yeye ameheshimu maombi hayo ili asiharibu hali ya hewa.

Amesema kuwa ndani ya UKAWA kuna usaliti wa hali ya juu kiasi ambacho ni vigumu tena kujiaminisha kuwa wanasimamia matakwa ya wananchi.

Amesema kuwa bunge la bajeti halipo kwa malengo ya kuvurugana kutokana na itikadi za kisisa. Amewaomba wabunge wa UKAWA kurudi kwenye bunge la Katiba huko ndiko mambo yatawekwa hadharani.

Hakika wakati Lukuvi anaongea, nimewaona wabunge wa UKAWA wakiinamisha macho chini kwa aibu. Viva Lukuvi

Sasa huku ndiko kuwalipua?scha ushabiki kama huwezi kutiavhoja kaa pembeni
 
Lukuvi ni jembe sana,mie binafsi namkubali maana huwa anawapangua wapinzani wanabaki weupe peeeee! Biva Lukuvi
 
Ungemalizia kwa kusema; 'NIKIRIPOTI KUTOKA UKUMBI WA BUNGE NI MIMI SHABIKI NA MLAMBA MIGUU WA LUKUVI...'
 
Lukuvi ni aina ya baba Mwenye gubu kwenye familia, hawezi kuongoza na kumaliza tatizo haraka na kuangalia mambo muhimu yanayojenga na si kubomoa. Mwenye kuelewa ameelewa nimaanishacho.
 
umemsikiliza kinyumenyume wewe. Mbona mie ni emsikia kama alivyoeleza lizaboni​?

hawa pendi kuambiwa ukweli wakiambiwa wanakuja na matusi,wakati wanamsaka lukuvu mbona walikuwa wanajibiwa in polite manner?!!sijajua ilieasisi upinzani nadhani alikuwa mkaidi sana wanawe wote wamerithi hata mashabiki pia wamerithi
 
Mheshimiwa Lukuvi kwa mara nyingine amesema maneno yanayochoma sana bungeni muda huu. Amesema kuwa wabunge wa UKAWA wanasema kuwa wana mkanda wa video unaomuonesha Lukuvi akileta uchochezi wa kidini kanisani.

Amesema kuwa kama wao wana video moja, yeye anazo zaidi ya 20 (amezionesha) ambazo zinawaonesha viongozi mbalimbali wa upinzani wakileta uchochezi kwenye nyumba za ibada. Anasema kuwa viongozi wa CUF ndio wameasisi wa siasa za udini nchini kutokana na kauli zao na matendo yao.

Amewaonya wabunge wa upinzani kwa kitendo chao cha kuendelea kudodosa mambo wasiyoyajua kwa vile yeye anao ushahidi wa kutosha juu ya uchochezi wa viongozi wa UKAWA. Anasema kuwa baadhi ya viongozi wa UKAWA wamemuomba asiseme sana ili wasiumbuke hivyo na yeye ameheshimu maombi hayo ili asiharibu hali ya hewa.

Amesema kuwa ndani ya UKAWA kuna usaliti wa hali ya juu kiasi ambacho ni vigumu tena kujiaminisha kuwa wanasimamia matakwa ya wananchi.

Amesema kuwa bunge la bajeti halipo kwa malengo ya kuvurugana kutokana na itikadi za kisisa. Amewaomba wabunge wa UKAWA kurudi kwenye bunge la Katiba huko ndiko mambo yatawekwa hadharani.

Hakika wakati Lukuvi anaongea, nimewaona wabunge wa UKAWA wakiinamisha macho chini kwa aibu. Viva Lukuvi

Akiwa kama kiongozi MWANDAMIZI Serikalini, anataka kutuambia alifanya vile ili kuwaiga CUF, ili iweje?
 
Acha uongo , kasema CUF Eti Ana mkanda wa wao wakiwa misikitini , swali ni kuwa yeye kwenda kanisani ndio kutafuta suluhu? Wewe na LUkuvi akili zenu zinafafana

Huo mkanda unajulikana na ulishajadiliwa vya kutosha> Tatizo Lukuvi akiutoa huo mkanda ambao hata hivyo upo kwenye mitandao atakuwa anamwaibisha zaidi mwenyekiti wake wa chama>Kikwete> Kwa sababu mkanda unahusu mwenyekiti wake wa chama kuwaomba waislamu (kupitia prof. Lipumba of course) wampigie kura asiangushwe na padri slaa! Huo ndio ulikuwa mwanzo wa ule udini uliokidhiri katika uchaguzi wa mwaka 2010 baada ya kikwete kukabwa koo vilivyo. Kikwete na CCM walicheza faulo mbaya sana! Sasa hivi ndio yale makovu yanatka kupona naona Lukuvi kwa akili zake ndogo anataka kuyaamsha eti ili watu wanyamaze kumtuhumu kwa alichokifanya kanisani! Yaani umekamatwa ready handed unaiba halafu eti unajitetea mbona na fulani naye aliiba siku fulani? Lukuvi hizi kauli zake ni km za mtu aliyechanganyikiwa. Hivyo hofu ya CCM kupoteza madaraka lazima italiingiza hili Taifa kwenye machafuko!
 
Lukuvi is a lower level thinker!!!

Hivi kwakuwa anao ushahidi wa mikanda ya video ya CUF ndio amepata uhalali wa kwenda kanisani na kuzungumza yale?

Hata sisi hizo video za Lipumba tunazo, naamini na serikali inazo, kama hazifanyiwi kazi kwa kuzuia mambo hayo badala yake viongozi wa serikali nao wanapita mlango wa nyuma na kufanya yaleyale, serikali inakosea zaidi.
 
Kukaa na Ushahidi kana kwamba yeye ni Polisi huo ni Ujuha, tena Ujuha mkubwa wa viongozi wetu
 
Back
Top Bottom