Luke Marklin: CEO wa Bellhops Moving aliyemzawadia gari yake binafsi (Ford Escape) mfanyakazi mpya aliyetembea zaidi ya miles 20 ili awahi kazini

Duuuh hii sio mchezo hata kidogo
 
A very caring CEO. Good
 
Hapa kwetu ukishaitumikia serikali ya ccm unanjimwa haki zako na kusahaulika (Unatupwa jalalani)
 
Hapa nawaza kama kijana alikosa nauli ya kwenda huko kazini ataeza kueka mafuta kweli ya kila siku ..maana gari yenyewe yaonekana sio ya kitoto
 
Hapa nawaza kama kijana alikosa nauli ya kwenda huko kazini ataeza kueka mafuta kweli ya kila siku ..maana gari yenyewe yaonekana sio ya kitoto
Hakukosa nauli bali aliamka mapema saaana kabla ya daladala za huko kwao hazijaanza kazi
 
Hapa nawaza kama kijana alikosa nauli ya kwenda huko kazini ataeza kueka mafuta kweli ya kila siku ..maana gari yenyewe yaonekana sio ya kitoto
Alafu pia kumbuka kwamba huyo bwana mdogo tayari alikuwa analo gari lake sema lilikuwa limepata breakdown
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…