Luke Marklin: CEO wa Bellhops Moving aliyemzawadia gari yake binafsi (Ford Escape) mfanyakazi mpya aliyetembea zaidi ya miles 20 ili awahi kazini

Luke Marklin: CEO wa Bellhops Moving aliyemzawadia gari yake binafsi (Ford Escape) mfanyakazi mpya aliyetembea zaidi ya miles 20 ili awahi kazini.

View attachment 1543976

Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.

Siku moja, Walter Carr aliwatumia marafiki zake jumbe nyingi za maandishi (SMS) za kuwabembeleza akiomba msaada. Gari la mwanafunzi huyo wa chuo lilikuwa limeharibika, na alitakiwa kuanza kazi yake mpya kama msafirisha mizigo asubuhi iliyofuata - katika mji wake wa umbali wa maili zaidi ya 20 kutoka apartment yake karibu na Birmingham. Alitoka nje kutafuta safari, lakini hakuweza kupata.

View attachment 1543091

Almanusrah asiende kazini ama achelewe siku yake ya kwanza ya kazi katika kampuni ya kusafirisha mizigo (Moving Company) inayoitwa Bellhops. Carr, aliyekuwa na umri wa miaka 20, alihitaji sana kazi ile. Alishughulikia kadhia ile na aliamua kuwa na chaguo moja tu: Kutembea kwa miguu. Alitafuta njia ya kuweza kutoka kwenye apartment yake huko Homewood hadi Pelham.

Na kulingana na Ramani za Google, ingechukua masaa nane kwa miguu. Kama mkimbiaji wa zamani wa shule ya secondary huko kwao, alijua anaweza kufanya hivyo kwa bidii. Carr alikula chakula na ilipofika saa 2 usiku akalala. Usiku wa manane, aliamka, akabeba begi lake, simu, baseball na kisu cha kumlinda dhidi ya mbwa koko wanaoruzura zurura hovyo mitaani.

Akaanza safari usiku wa giza nene. Saa chache baadae, alikutana na mbwa. Akamtupia mpira. Mbwa aliukimbilia. Carr akaenda njia nyingine. Alipokuwa safarini, Carr alikuwa na njia anayoifahamu akilini mwake tangu zamani. Kuna wakati alikuwa anakimbia kidogo. Pia alitembea sana. Miguu yake ilipoanza kuuma, bado aliendelea kuzingatia malengo yake.

View attachment 1543092

Alikuwa na kazi hapo zamani kama mpishi kwenye migahawa ya chakula, lakini hii ilimlipa vizuri zaidi, na alihitaji pesa kwa ajili ya kulipia apartment ambayo alikodisha hivi karibuni. Mida ya saa 10 alfajiri alifika Pelham, lakini bado alikuwa na masaa mengi ya kutembea kufika nyumbani. Alikuwa karibu kuingia kwenye barabara kuu, njia ya moja kwa moja ya kufika kazini.

Aliamua kukaa katika ukingo wa eneo la maegesho ya magari. Gari la polisi likafika ghafla na afisa mmoja, aliyetambuliwa kama Mark Knighten, aliuliza ikiwa Carr alikuwa sawa sawia bila tatizo lolote? Carr alisema ndio, na akaelezea ni nin anachokifanya. Afisa huyo alimuuliza ni lini alikula, na Carr akamwambia juu ya chakula alichokla kwa mara ya mwisho.

Knighten aliahidi kumchukua ili kupata kitu zaidi tumboni mwake. Knighten alimwambia aingie ndani ya gari, gharama ya chakula kilikuwa juu yake. Wakaenda mpaka sehemu panaitwa Whataburger na maafisa wengine, na Carr akaagiza biscuit. Kwa kushawishiwa na maafisa wengine wa Polisi, akaagiza biscuit nyingine.

Knighten alimpeleka kwa gari Carr maili chache mbele kuelekea kazini kwake na kumshusha maeneo ya kanisani, akisema ilikuwa mahali salama. Knighten ilibidi aondoke kwa sababu ya mabadiliko shift huko kazini kwako, lakini alisema afisa mwingine atakuwa amefika ndani ya masaa machache ili kumuangalia Carr anaendeleaje, na labda ampe tena lift ya kwenda kazini.

Lakini baada ya Carr kufika kanisani, alikuwa na wasiwasi labda anaweza asiweze kufika kwa wakati. Basi karibia na mida ya saa 11:30 alfajiri, akaanza kutembea tena. Carr alikuwa akitembea kwenye barabara yenye njia mbili, na kama ilivyotegemewa, afisa wa polisi akaja na akasema amesikia habari zake.

View attachment 1543084

Afisa huyo, aliyetambuliwa kama Scott Duffey, alimpa lift Carr maili nne. Saa 12:30 alfajiri., Duffey alitembea kwenda nyumbani ambapo Carr alitakiwa kukutana na wasafirisha mizigo wengine kwa kazi hiyo, na akamfafanulia mmiliki wa nyumba Jenny Lamey kile kilichokuwa kimetokea.

Carr alienda mpaka mlangoni na Lamey akampa kitanda ili apate kupumzika, pamoja na chakula kidogo.

Movers wengine wawili kutoka Bellhops walionekana muda mfupi baadaye, na hao wote watatu waliwahamisha familia ya Lameys kwenda kwenye nyumba yao mpya. Kila mtu aliendana na mwezake na kupiga story kana kwamba walikuwa ni marafiki wa zamani/muda mrefu. Baada ya shughuli ile, Carr alicheza mpira wa kikapu na watoto wa Lameys, wenye umri wa miaka 11, 13 na 16.

Lamey alisema huu ni mwanzo tu wa kile anachotarajia kuwa ni urafiki wa muda mrefu kati ya Carr na familia yake. Mmoja wa mfanyikazi mwenzake mpya wa Carr alimpa lift ya kwenda nyumbani. Siku iliyofuata, Lamey alimpigia simu msimamizi wa Carr, na wawili hao walijadili kwa pamoja kwa hisia kwenye simu juu ya kile Carr alichokifanya.

Lamey aliichapisha hadithi hiyo kwenye Facebook, na ikasambaa sana. Siku ya Jumapili, bosi wa Carr, afisa mkuu (CEO) wa Bellhops, Luke Marklin, alimuita kumshukuru. Marklin alisema alitaka kuonana naye kibinafsi ili kuonyesha shukrani yake. Walikubaliana kukutana Jumatatu katika duka la kahawa karibu na nyumba ya Carr.

View attachment 1543087

Carr alitembea kwa mwendo wa dakika 20 tu. Walipokutana, Marklin alimpa gari lake mwenyewe, aina ya Ford Escape ya mwaka 2014 huku akisema kwamba gari hii itakuwa katika mikononi salama akipewa Carr kuliko akibaki nayo yeye mwenyewe.

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.

BIASHARA: Ninauza Vitabu Vya Kujifunzia Lugha Ya Kijerumani. Ich komme aus der Stadt Dar Es Salaam und verkaufe diese Deutsch-Lernbücher
Duuuh hii sio mchezo hata kidogo
 
A very caring CEO. Good
 
Hapa kwetu ukishaitumikia serikali ya ccm unanjimwa haki zako na kusahaulika (Unatupwa jalalani)
 
Hapa nawaza kama kijana alikosa nauli ya kwenda huko kazini ataeza kueka mafuta kweli ya kila siku ..maana gari yenyewe yaonekana sio ya kitoto
 
Hakukosa nauli bali aliamka mapema saaana kabla ya daladala za huko kwao hazijaanza kazi
 
Hapa nawaza kama kijana alikosa nauli ya kwenda huko kazini ataeza kueka mafuta kweli ya kila siku ..maana gari yenyewe yaonekana sio ya kitoto
Alafu pia kumbuka kwamba huyo bwana mdogo tayari alikuwa analo gari lake sema lilikuwa limepata breakdown
 
21 Reactions
Reply
Back
Top Bottom