Shindu Namwaka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 4,911
- 3,080
Haya bana uende salama mkuu mimi nawaogopa sana kijani hawachelewi kuku blockHahahahahaaaaa! Nimekitoa sadaka kusema kweli daima
Haya bana uende salama mkuu mimi nawaogopa sana kijani hawachelewi kuku blockHahahahahaaaaa! Nimekitoa sadaka kusema kweli daima
Kwani maana ya uchaguzi si ni kama hivyo wagombea wanajitokeza halafu wajumbe wanamchagua wanayempenda? Kuna hofu gani kama JPM kupata wapinzani? Huoni ni vyema akadhihirisha kupendwa kwake kwa kuwashinda wapinzani wake kwa kishindo? Au unapenda ashinde kwa kishindo wakati amegombea peke yake? Go Lukuvi go!...Mtakumbuka ni hivi juzi tu nimeumbua mkakati wa chini kwa chini unaoratibiwa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Bara, Rajab Luhwavi wa kutaka kukwamisha Rais Magufuli asiwe Mwenyekiti wa CCM. ...
Mkuu Leo umemsariti Membe?Hahahahahaaaaa! Nimekitoa sadaka kusema kweli daima
Rais si lazima awe Mwenyekiti wa chama.Ni kwa sababu ndiye Rais wetu
Kama ndio hivyo sasa unalalamika nini? Mbona ueleweki.......Magufuli ndiye Rais wetu na ndiye Mwenyekiti wetu ajaye wa CCM. Mpende msipende ndivyo itakavyokuwa
Wamekwambia ni mila na desturi yao kukabidhiana kijiti..katiba ikae huko kwanza..Katiba ya chama inasemaje kuhusu kugombea nafasi za uongozi? Kuna wengine sana haki zaidi ya wengine?