Luhwavi, Membe na Lukuvi, mnayopanga Gizani ili Magufuli asiwe Mwenyekiti wa CCM yawekwa Hadharani

Sell by date/shelf life iko na maana gani wakuu? Maana twaambiwa hata uhai uko na hizo sifa. Hata ukijitoa akili.

Mchina wajF.
Na washawasha!
 
Sikuwahi kuona Lizaboni akiandika thread yenye mashiko au yenye elimu flani, siku zote yeye ni umbea, majungu, fitna, uongo, gilba, uchochezi, upashkuna na kila aina ya unafiki. Hii ni dhahiri kuwa hata yeye alizaliwa ktk fitna, gilba, uongo na umbea. Na utaishi ktk hayo hadi kiyama chako.
 
Back
Top Bottom