Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,351
- 4,868
Nashauri yafuatayi;Muda wowote Mpina ataitisha press babu kubwa
Unaambiwa ana nyaraka Mara 10 ya alizonazo Gwajima na polepole
Kaeni kwa kutulia ni baada ya Ile Instagram live yao ya maigizo ya kanuni kuisha
Unaambiwa kuisha ni mpaka iishe na baada ya ile press nyoka atatoka pangoni.
Mwaka huu Kuna press zaidi ya 10 za watu powerful kupiga sparm mpaka reform zifanyike.
Ndio kwanza tupo stage three mpaka 10 nyoka atakuwa kakimbia.
1. Kama vipi awe anaitisha press sawa na idadi ya Milo, yaani mara tatu kwa siku. Awe na press asubuhi, mchana na jioni.
1. Aje na nyaraka 100 zaidi, 10 ni Cha mtoto sana kwa Mama la Mamama, Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, kuweza kuchafuka.
2. Hizo press zizidisheni Hadi ziwe 200, mkikwama kuzilipia mama Samia atawalipia 150 kati ya hizo.
3. Zikisha hizo stage 10 zenu, Mama la Mamama, Dr Samia Suluhu Hassan, atawaoffer stages zingine 26 mujaribu tena bahati.