Hii nchi ina watu wanaojiona wana akili kuliko wenzao,balaa walilojaliwa hili kundi la mother halina utulivu wa akili.Kwa sasa wanajuta hata wale waliowatanguliza mbele ya haki,kila siku mambo yanaharibika,na zile damu zinaongea duh!!.Mambo naskia ni magumu,shetani na wahuni Mungu na waungwana.CCM inaelekea kuhatarisha usalama wa Taifa kwa manufaa ya wachache. Waliokula viapo wakarudie viapo vyao badala ya kwenda bila dira.