Tetesi: Luhaga Mpina kuongea na Vyombo vya Habari

Tetesi: Luhaga Mpina kuongea na Vyombo vya Habari

Muda wowote Mpina ataitisha press babu kubwa

Unaambiwa ana nyaraka Mara 10 ya alizonazo Gwajima na polepole

Kaeni kwa kutulia ni baada ya Ile Instagram live yao ya maigizo ya kanuni kuisha

Unaambiwa kuisha ni mpaka iishe na baada ya ile press nyoka atatoka pangoni.

Mwaka huu Kuna press zaidi ya 10 za watu powerful kupiga sparm mpaka reform zifanyike.

Ndio kwanza tupo stage three mpaka 10 nyoka atakuwa kakimbia.
Hiyo nayo ni hbr? Tafuta hbr za maana! Huyo bwege ni nani nchi hii? Huyo jamaa kwl ni mshamba ht hajielewi, omba sn Mungu akupe hekima, sasa sisimizi km huyo anaweza kushindana na nani. Ni lijinga kwl.
 
CCM imeteleza siku nyingi. Kitendo cha kumfanya mtu kama Samia kuwa makamu wa rais ambayo ni nafasi inayoweza kumfanya mtu awe rais kilikuwa ni hatari sana. Sasa hivi ndiyo wanakumbuka shuka. Na muda huu ni muhimu sana. Inabidi wafanye lolote wahakikishe Samia hawi tena rais na waache ujinga wa kuingilia uchaguzi wa wabunge. Waache wananchi wachague wabunge wanaofaa na siyo wapigaji.
naam, haya ni matatizo waliyoyalea wenyewe
 
Muda wowote Mpina ataitisha press babu kubwa

Unaambiwa ana nyaraka Mara 10 ya alizonazo Gwajima na polepole

Kaeni kwa kutulia ni baada ya Ile Instagram live yao ya maigizo ya kanuni kuisha

Unaambiwa kuisha ni mpaka iishe na baada ya ile press nyoka atatoka pangoni.

Mwaka huu Kuna press zaidi ya 10 za watu powerful kupiga sparm mpaka reform zifanyike.

Ndio kwanza tupo stage three mpaka 10 nyoka atakuwa kakimbia.
Huyu mwamba agombee urais chama kingine wanaccm tumpe kura awe rais. Mbele ya safari namna ya kuikomboa ccm toka mikono ya wahuni kama mzee makamba.
 
Unahisi Luhaga Mpina ni powerful? Ungelimuuliza Marehemu Mzee Lowassa alivyoshangaa baada ya kujua yeye sio "powerful" ndani ya CCM mwaka 2015! Sasa Luhaga Mpina? Ni mwana CCM mzuri sana kama ilivyo kwa Mzee Warioba, Mzee Butiku, Marehemu Membe na Kijana Polepole. But, they are not powerful. CCM is!
Lowassa alikua powerful ndo alimuingiza JPM kwenye Urasil ndo maana Mwishoni walikua marafiki sana
 
Back
Top Bottom