Tetesi: Luhaga Mpina kuongea na Vyombo vya Habari

Tetesi: Luhaga Mpina kuongea na Vyombo vya Habari

Hivi watu wakila viapo, wanamaanisha kweli?
Mbona wanaiba mali ya uma?
Mbona wanaua badala ya kulinda maisha? Mbona wanavunja katiba??
Mbona wanadanganya?
Ni Polepole tu ndio niliyemuoa akisema hawezi kwenda kinyume na kiapo.
 
Muda wowote Mpina ataitisha press babu kubwa

Unaambiwa ana nyaraka Mara 10 ya alizonazo Gwajima na polepole

Kaeni kwa kutulia ni baada ya Ile Instagram live yao ya maigizo ya kanuni kuisha

Unaambiwa kuisha ni mpaka iishe na baada ya ile press nyoka atatoka pangoni.

Mwaka huu Kuna press zaidi ya 10 za watu powerful kupiga sparm mpaka reform zifanyike.

Ndio kwanza tupo stage three mpaka 10 nyoka atakuwa kakimbia.
Hakuna kipya chini ya jua. Wrong timming. Miaka 5 nje ya Bunge sio mchezo labda ahame Chama akapambane
.
 
Back
Top Bottom