Tetesi: Luhaga Mpina kuongea na Vyombo vya Habari

Muda wowote Mpina ataitisha press babu kubwa

Unaambiwa ana nyaraka Mara 10 ya alizonazo Gwajima na polepole

Kaeni kwa kutulia ni baada ya Ile Instagram live yao ya maigizo ya kanuni kuisha

Unaambiwa kuisha ni mpaka iishe na baada ya ile press nyoka atatoka pangoni.

Mwaka huu Kuna press zaidi ya 10 za watu powerful kupiga sparm mpaka reform zifanyike.

Ndio kwanza tupo stage three mpaka 10 nyoka atakuwa kakimbia.
SAMIA OUT
 
Ule mchezo wa g55 na press za kila siku umehamia ccm?
 
Probably ni Vasco da Gama kama si bibi Urojo mwenyewe, ngoja tuone.
Nyie wajinga mnafanya JF ikose maana na tunaweza kufungiwa kwa kukosa adabu. Mimi nachukizwa sana na maneno yenu ya kuutweza utu wa mtu tena zaidi akiw akiongozi.

Leteni michango yenu bila kuchafua watu.
Kuna baadhi ya nyuzi mimi nikishaona matusi hata sichangii hizo nyuzi. Mnakera sana.

Nadhani tumeelewana.
 
Ila

Ila watanganyika kutekwa ,bakwa,rekodiwa video za uchi hauchukuzwi nayo
 
watajuana wenyewe
Yameshagawanyika!

IMG-20250725-WA0040.jpg
 
Mbowe ndio kaifikisha nchi hapa KWA ubunifu wake wa No reform no Election. Bila hilo haya mambo yasingekuwepo
Halafu juzi kati hapo kairuka hiyo anasema waulizwe viongozi kuhusu NRNE.

(^Hilo swali kawaulize viongozi; unataka kunichoma?^)🤣🤣🤣

Hivi mjumbe (tena wa kudumu) wa Kamati Kuu si kiongozi???
 
Lowasa alikuwa very powerful ndani ya CCM, JK ndio alihakikisha Lowasa hapiti, na JK alijua ni kipi kingefuata baada ya uchaguzi.
Siku CCM ikitenganisha nafasi ya urais na uenyekiti wa chama, tutaona mengi makubwa.
Ahsante kwa kukubaliana na mimi kwa maana angelikuwa hakuna mtu angelimgusa sio? Lakini wewe umesema aliondolewa na Kikwete as a person sio? Ahahahahaha!
 
Muda wowote Mpina ataitisha press babu kubwa

Unaambiwa ana nyaraka Mara 10 ya alizonazo Gwajima na polepole

Kaeni kwa kutulia ni baada ya Ile Instagram live yao ya maigizo ya kanuni kuisha

Unaambiwa kuisha ni mpaka iishe na baada ya ile press nyoka atatoka pangoni.

Mwaka huu Kuna press zaidi ya 10 za watu powerful kupiga sparm mpaka reform zifanyike.

Ndio kwanza tupo stage three mpaka 10 nyoka atakuwa kakimbia.
Wanajitokeza mmoja mmoja
 
Unahisi Luhaga Mpina ni powerful? Ungelimuuliza Marehemu Mzee Lowassa alivyoshangaa baada ya kujua yeye sio "powerful" ndani ya CCM mwaka 2015! Sasa Luhaga Mpina? Ni mwana CCM mzuri sana kama ilivyo kwa Mzee Warioba, Mzee Butiku, Marehemu Membe na Kijana Polepole. But, they are not powerful. CCM is!
Inategemea powerful au sio powerful vs nani? Ila kwa huyu ukimshindanisha na Mpina, Mpina powerful 100%
 
Muda wowote Mpina ataitisha press babu kubwa

Unaambiwa ana nyaraka Mara 10 ya alizonazo Gwajima na polepole

Kaeni kwa kutulia ni baada ya Ile Instagram live yao ya maigizo ya kanuni kuisha

Unaambiwa kuisha ni mpaka iishe na baada ya ile press nyoka atatoka pangoni.

Mwaka huu Kuna press zaidi ya 10 za watu powerful kupiga sparm mpaka reform zifanyike.

Ndio kwanza tupo stage three mpaka 10 nyoka atakuwa kakimbia.
Mgambo wanaruka na kukanyagana ........ Aaaa wanacheka. Sukuma gang wanaruka na kukanyagana ........ Aaa urais unawatoa roho
 
Nyie wajinga mnafanya JF ikose maana na tunaweza kufungiwa kwa kukosa adabu. Mimi nachukizwa sana na maneno yenu ya kuutweza utu wa mtu tena zaidi akiw akiongozi.

Leteni michango yenu bila kuchafua watu.
Kuna baadhi ya nyuzi mimi nikishaona matusi hata sichangii hizo nyuzi. Mnakera sana.

Nadhani tumeelewana.
Yaani unakereka na maneno tu? Hukereki kuona na kusikia watu wakiteswa, kutekwa, kubakwa, kulawitiwa na kuuwawa?

Hukereki kuona rushwa na ufisadi vimetamalaki?

Hakuna mwananchi anayeweza kuchafua viongozi bali viongozi ndio wanajichafua wenyewe kwa matendo yao ya hovyo.
 
Back
Top Bottom