Mikael Aweda
JF-Expert Member
- Dec 17, 2010
- 3,129
- 4,285
Mwaka huu ni mwaka wa kihistoria
Unahisi Luhaga Mpina ni powerful? Ungelimuuliza Marehemu Mzee Lowassa alivyoshangaa baada ya kujua yeye sio "powerful" ndani ya CCM mwaka 2015! Sasa Luhaga Mpina? Ni mwana CCM mzuri sana kama ilivyo kwa Mzee Warioba, Mzee Butiku, Marehemu Membe na Kijana Polepole. But, they are not powerful. CCM is!Muda wowote Mpina ataitisha press babu kubwa
Unaambiwa ana nyaraka Mara 10 ya alizonazo Gwajima na polepole
Kaeni kwa kutulia ni baada ya Ile Instagram live yao ya maigizo ya kanuni kuisha
Unaambiwa kuisha ni mpaka iishe na baada ya ile press nyoka atatoka pangoni.
Mwaka huu Kuna press zaidi ya 10 za watu powerful kupiga sparm mpaka reform zifanyike.
Ndio kwanza tupo stage three mpaka 10 nyoka atakuwa kakimbia.
mama wa watu mmemfanya panda wa madili yenuNow samia ndio anawania awamu yake hadi 2035
Hao wote ni wachumia tumbo wamekusaidia niniMuda wowote Mpina ataitisha press babu kubwa
Unaambiwa ana nyaraka Mara 10 ya alizonazo Gwajima na polepole
Kaeni kwa kutulia ni baada ya Ile Instagram live yao ya maigizo ya kanuni kuisha
Unaambiwa kuisha ni mpaka iishe na baada ya ile press nyoka atatoka pangoni.
Mwaka huu Kuna press zaidi ya 10 za watu powerful kupiga sparm mpaka reform zifanyike.
Ndio kwanza tupo stage three mpaka 10 nyoka atakuwa kakimbia.
Mpaka nyoka wenye sumu watachomoza nje ya mapango yao na kukimbilia vichakaniMuda wowote Mpina ataitisha press babu kubwa
Unaambiwa ana nyaraka Mara 10 ya alizonazo Gwajima na polepole
Kaeni kwa kutulia ni baada ya Ile Instagram live yao ya maigizo ya kanuni kuisha
Unaambiwa kuisha ni mpaka iishe na baada ya ile press nyoka atatoka pangoni.
Mwaka huu Kuna press zaidi ya 10 za watu powerful kupiga sparm mpaka reform zifanyike.
Ndio kwanza tupo stage three mpaka 10 nyoka atakuwa kakimbia.
Hifadhi ya jamiiAmeshaomba hifadhi?
Mtaelewa tu!!mama wa watu mmemfanya panda wa madili yenu
Mwenye ushungiNyoka ni nani kwenye huu uzii??😢
CCM imeteleza siku nyingi. Kitendo cha kumfanya mtu kama Samia kuwa makamu wa rais ambayo ni nafasi inayoweza kumfanya mtu awe rais kilikuwa ni hatari sana. Sasa hivi ndiyo wanakumbuka shuka. Na muda huu ni muhimu sana. Inabidi wafanye lolote wahakikishe Samia hawi tena rais na waache ujinga wa kuingilia uchaguzi wa wabunge. Waache wananchi wachague wabunge wanaofaa na siyo wapigaji.CCM inaelekea kuhatarisha usalama wa Taifa kwa manufaa ya wachache. Waliokula viapo wakarudie viapo vyao badala ya kwenda bila dira.
Lowasa alikuwa very powerful ndani ya CCM, JK ndio alihakikisha Lowasa hapiti, na JK alijua ni kipi kingefuata baada ya uchaguzi.Unahisi Luhaga Mpina ni powerful? Ungelimuuliza Marehemu Mzee Lowassa alivyoshangaa baada ya kujua yeye sio "powerful" ndani ya CCM mwaka 2015! Sasa Luhaga Mpina? Ni mwana CCM mzuri sana kama ilivyo kwa Mzee Warioba, Mzee Butiku, Marehemu Membe na Kijana Polepole. But, they are not powerful. CCM is!
AlooohHekaheka zisizo na msingi, Joelson,play-low,ni hekima.
Ni chawa wake tu ndiyo wanamshobokea lakini watu wenye akili timamu wote tumemkataa .ukweli ni kwamba Hapendwi sijawahi kuona binadamu asiyependwa kama Samia