Lugha zinazotumika na matapeli "mume wangu"

instagram

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,118
Reaction score
4,880
Kama hadi sasa hujamuoa ila anakuita "mume wangu" huyo ni tapeli uko nae. Mara nyingi hayo maneno huambatana na kizinga cha hela, akituma msg akaweka "mume wangu" ujue ni mzinga unahusika.

Wewe hujamuoa siyo mume wake acha kujibebesha majukumu yasiyokuhusu futa namba tapeli ilo.
 
Kata pochi acha longo longo.. Ukiwa na mkono wa birika, watoto wazuri utaishia kuwaita mashemeji!
 
Je Mwanaume akimuita Mke Mwanamke ambaye hajamuoa inakuwaje hapo?
 
Hakuna kitu nakiona kizito kama kumuita Boyfriend "mume wangu"

Hunnie, Sweetheart, Darling, BF yakiisha utamu ni heri nikuite 'wewe au baba chanja' na sio Mume wangu
Aisee hii comment imenipa nguvu Sana.

Yaani nimefarijika nayo Sana.
 
Nayakutolea hakuna namna![emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama hadi sasa hujamuoa ila anakuita "mume wangu" huyo ni tapeli uko nae. Mara nyingi hayo maneno huambatana na kizinga cha hela, akituma msg akaweka "mume wangu" ujue ni mzinga unahusika.

Wewe hujamuoa siyo mume wake acha kujibebesha majukumu yasiyokuhusu futa namba tapeli ilo.
Mi demu wangu ananiita "mume wangu" na Wala haombi pesa
 
Back
Top Bottom