kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,694
- 20,658
Akiona apa itakuwaje?Hakuna kitu nakiona kizito kama kumuita Boyfriend "mume wangu"
Hunnie, Sweetheart, Darling, BF yakiisha utamu ni heri nikuite 'wewe au baba chanja' na sio Mume wangu
Akiona apa itakuwaje?Hakuna kitu nakiona kizito kama kumuita Boyfriend "mume wangu"
Hunnie, Sweetheart, Darling, BF yakiisha utamu ni heri nikuite 'wewe au baba chanja' na sio Mume wangu
Umepigwa kama sh ngapi hivi usituficheKama hadi sasa hujamuoa ila anakuita "mume wangu" huyo ni tapeli uko nae. Mara nyingi hayo maneno huambatana na kizinga cha hela, akituma msg akaweka "mume wangu" ujue ni mzinga unahusika.
Wewe hujamuoa siyo mume wake acha kujibebesha majukumu yasiyokuhusu futa namba tapeli ilo.
Mbona 'wavulana' wanahangaika hivyo ili kukimbia majukumu yao..!?Tafuteni Pesa
aisee hvi ni kweli inabusti, thibitishaMwaka huu wanalo mbonaView attachment 1707502
Hii mpaka uitumie ndipo uthibitishe wewe mwenyewe. Noma sana, ila matumizi kupita kiasi ni janga, unaweza kubaka kukuaisee hvi ni kweli inabusti, thibitisha
Aisee nimepigwa sana kwa style hii, nini mume wangu.... mi naitwa babaangu!!![]()
Si ndio hapo sasa! Halafu cha ajabu ni kwamba eti na wao wanajiita wanaume!Mbona 'wavulana' wanahangaika hivyo ili kukimbia majukumu yao..!?
Ni sawa tu na ninyi mnavyoipinga hiyo 50/50 and yet kwenye kutafuta pesa mnataka tuwe sawaHehehe wabeijingi buana yaani wanavyopambania fursa sawa kwa wote hadi linapokuja swala la majukumu ndipo wanapojicontradict.
Hiyo Avatar uliyoweka sisi kama JF tulikubaliana aina hiyo aweke cocastic na si mwengineHakuna kitu nakiona kizito kama kumuita Boyfriend "mume wangu"
Hunnie, Sweetheart, Darling, BF yakiisha utamu ni heri nikuite 'wewe au baba chanja' na sio Mume wangu
Kwa kweli ndugu katibu nimeona ugunduziKaka madenge kuna ugunduzi mpya umefanyika 😎
Siyo wote nkuu.Inategemea Ntu na Ntu.Kama hadi sasa hujamuoa ila anakuita "mume wangu" huyo ni tapeli uko nae. Mara nyingi hayo maneno huambatana na kizinga cha hela, akituma msg akaweka "mume wangu" ujue ni mzinga unahusika.
Wewe hujamuoa siyo mume wake acha kujibebesha majukumu yasiyokuhusu futa namba tapeli ilo.