Lugha ya Kisafwa...!!

Lugha ya Kisafwa...!!

Mwagona !!
hii Lugha asili yake wapi? ni kbantu kweli?
Tofauti kati ya kuoga na kunawa ni nini?
Mbundula ya hubhinyo.
Kisafwa ni kibantu, asili yake kwenye miteremko ya Mlima Mbeya na mlima Loleza. Wasafwa wamesambaa Igodima, Uyole hadi Uporoto
 
Ahsante sana kwa majibu woote, pmwasyoke endaga sana mwadada ani nili whilambo (ILAMBO) Wana Jamii welcome Uporoto, ijombe(hatwelo), iwalanje ....
Utingo wewe ni msafwa nini au anakiskia skia tu...!!upo juu
Mwagona wayaya, zinziku! Zimbombo? Hombwa amadule aaah umenikumbusha mbaliii sana du. Nilisoma Mbeya miaka ya 90. Wanafunzi wengi siku za weekend tunaenda kwa wenyeji wanakupa viazi au mafyulisi vitam nawe kipoza njaaa. Tukienda likizo unawaletea zawadi kama nguo viatu na vitu vya mjini hehehehe. Enzi hizo hakuna fb zaidi ya barua
 
Ahsante sana kwa majibu woote, pmwasyoke endaga sana mwadada ani nili whilambo (ILAMBO) Wana Jamii welcome Uporoto, ijombe(hatwelo), iwalanje ....
Utingo wewe ni msafwa nini au anakiskia skia tu...!!upo juu
Wadamla yako wewe
 
hapana mkuu mimi si msafwa, pamoja na wenzangu tunajishughulisha na kazi ya kuendeleza lugha za asili kwa kuanzisha na kuendeleza tahajia, utafiti wa isimu na kuandika vitabu ili kutunza kumbukumbu kwa vizazi vijavyo.
Unapatikana wapi mkuu tujumuike. Naipenda sana lugha yangu. Natamani wanangu waje waijue pia
 
Kuna moja alitapeliwa mjini...basi kwa hasira alivyorudi bush kwao akaweka magogo kwenye Barbara ili magari yanayotokea mjini yakwame,,, unaambiwa dereva moja alivyoshuka kutoa magogo alipigwa hapa la panga msafwa kwa hasira akaropoka " nyinyi mlijifanya wathenge thatha thithi ndio wathenge zaidi"
 
Back
Top Bottom