Lugha ya kiingreza katika kufundishia darasani

Haya sio maandazi uamue tu kubadili.
Kiswahili kina mapungufu mengi mno.
Asilimia 80% ya maneno yake yana asili ya KIARABU. Na mpk leo wanajaribu kubuni majina ya ajabu ajabu kuyafidia yale ya Kiingereza na Kiarabu.

Leo Waamue kufuta kiingereza kutumika mashuleni unadhani kutakuwa na Elimu imebaki hapo?

mbona hata kiingreza kina misamiati mingi tu ambayo asili yake ni aidha ugiriki,ureno au uitaliano! {mf😀EMOCRACY,PHILOSOPHY,ENTREPRENEURSHIP n.k} kwa nini iwe tatizo kwa lugha yetu ya kiswahili kutumia maneno\misamiati yenye asili ya kiarabu au ureno n.k?
 
Sasa hebu soma haya maneno hapa halafu unambie. Hii ni lugha? Au uchizi?

Tarakinimwangwi/tarakini-akisi.
kibubusa. Kurambaza. Kurundumusha. SANJALI. na utumbo mwingine Mwiiingi kwenye kamusi.

Hebu nambie hapo unatambua mangapi, sio kulazisha vitu visivyo ingia akilini.
 
duhh! lakini mdharau kwao ni mtumwa.
sababu hata kiingreza kuna misamiati\maneno mengi tu ya kisayansi ambayo ni magumu kuyakalili kichwani na kuyaelewa {mf:erythrocytes=RBC,thrombocytes n.k}
 
We unajiita kichwa kikubwa lkn nadhani ndani kiko tupu.

Hapa hatuongelei misiati. Hayo ni maneno ya kiswahili ya kawaida.

Tumia hicho kichwa vizuri.
 
Kiswahili kina mapungufu, waambie wasomi watafsili topic ya classfication f2, wakiweza tuitumie, pia ktk hesabu neno log linamaana gani

mkuu, kiswahili bado sana. hebu watuambie pia neno CD ROM tutaliitaje kwa kiswahili?
 
Sasa hebu soma haya maneno hapa halafu unambie. Hii ni lugha? Au uchizi?

Tarakinimwangwi/tarakini-akisi.
kibubusa. Kurambaza. Kurundumusha. SANJALI. na utumbo mwingine Mwiiingi kwenye kamusi.

Hebu nambie hapo unatambua mangapi, sio kulazisha vitu visivyo ingia akilini.

weweeee kwa hio, wataka kuniambia kingereza unakitambua vizuri,na wataka kuniambia wewe umeelimika sababu ya kiingereza, au ndo huo ulimbukeni ulio nao wewe na baadhi ya watanzania wanao ipoteza asili,mkuu,kama wahisi wewe umeelimika basi naomba urudi darasani ukaelimishwe tena, kwani mwenye elimu haitukani asili yake, unafikir kujua kiingereza ndo kuendelea. hata hicho kiingereza kina misamiati tofauti yenye maana moja. kwa hio kama hakijitoshelezi tuache,, yaaaaaaniiiiiii niiiiishiiiiiiida!! kama walioelimika ndo nyie tumekwisha maana mtakuja muiuze nchi nyie mhamie kwa waingereza,,, mimi ni mtanzania ambaye ni mzalendo katika nchi yangu, naomba wasomi wabadilishe mitazamo na watumie elimu waliopewa na nchi hii wakifanye kiswahili iwe lugha ya kufundishia mashuleni. Elimu bila kiingereza Tanzania inawezekana!
 
Utumbo mwiiiingi pumba tupu.
 
mkuu, kiswahili bado sana. hebu watuambie pia neno CD ROM tutaliitaje kwa kiswahili?

yaani mwanichekesha kweli ndugu zanguni watanzania, tinapenda ushabiki usiona maana, jadilini tufanyeje kizazi kijacho kiwe na uelewa juu ya lugha yao, pengine hata wabunifu tunakosa kwa sababu ya hii milugha ya kigeni, kueni macho na tujitahidi kijitosheleze kwa kila kitu, sio tunabaki tukisema haiwezekani, hata waingereza wangesema lugha yao bado sanaaa unafikiri tungekuwa na hicho kiingereza tinacho jivuna nacho saahizi, nyie vipi nyie! hili ni jukwaa la wasomi na wasomi wanatakiwa kuisaidia nchi yao kwa kutoa maoni yalio chanya sio kusema kiswahiliiiii! bado kabisa!
 
Utumbo mwiiiingi pumba tupu.

huna ulipo una waya waya, nahisi umenielewa! huo ni utumbo ulio jaa pumba zenye maana, hili halina ubishi pumba maranyingi ndo chakula chenye virutubisho, pia kwa mitazamo yako na hisi ulikosa chakula cha aina hii, ndo maana wewe sii mbunifu na unabaki kusema haiwezekani, umenieeeelewaaaa!
 
mbona hata kiingreza kina misamiati mingi tu ambayo asili yake ni aidha ugiriki,ureno au uitaliano! {mf😀EMOCRACY,PHILOSOPHY,ENTREPRENEURSHIP n.k} kwa nini iwe tatizo kwa lugha yetu ya kiswahili kutumia maneno\misamiati yenye asili ya kiarabu au ureno n.k?

Wambie, wewe ndo mtanzania mzalendo, tatizo watanzania walio wengi wanabishana huku wana didimia wakijiona wana uelewa wa juu kumbe wizi mtupu, kiingereza bila kilatin ingekuwaje tena afadhali yetu sisi ni kinatokana na kiarabu kwa baadhi ya maneno, lakini asili ilio kubwa kiswahili kimetokana na kibantu, hawa vipi hawa! watumwa hawa hawafai nchini
 
Sasa hebu soma haya maneno hapa halafu unambie. Hii ni lugha? Au uchizi?

Tarakinimwangwi/tarakini-akisi.
kibubusa. Kurambaza. Kurundumusha. SANJALI. na utumbo mwingine Mwiiingi kwenye kamusi.

Hebu nambie hapo unatambua mangapi, sio kulazisha vitu visivyo ingia akilini.

wewe unaiita lugha yetu ni ya kichizi kwa nini unatoa hoja zako sasa kwa kiswahili, tumia kiingereza, wewe vipi wewe!
 
duhh! lakini mdharau kwao ni mtumwa.
sababu hata kiingreza kuna misamiati\maneno mengi tu ya kisayansi ambayo ni magumu kuyakalili kichwani na kuyaelewa {mf:erythrocytes=RBC,thrombocytes n.k}

na wewe ndo mpiganikia kiswahili, unasema "kuna maneno mengi ya kisayansi ni ngumu kuyakalili kichwani" sema kuya kariri! kariri! kariri kichwani,
 
duhh! lakini mdharau kwao ni mtumwa.
sababu hata kiingreza kuna misamiati\maneno mengi tu ya kisayansi ambayo ni magumu kuyakalili kichwani na kuyaelewa {mf:erythrocytes=RBC,thrombocytes n.k}

hayo nimaneno ya kisayansi, ukiyabadilisha wanasayansi watashindwa kuwasiliana duniani! hayo yanabaki hivyo hivyo
 
Kiswahili kina mapungufu, waambie wasomi watafsili topic ya classfication f2, wakiweza tuitumie, pia ktk hesabu neno log linamaana gani

aisee hebu fikiri vizuri , kwa hio una maana wasomi wetu hawawezi kutafsiri maneno,,, kama classification, hivi wewe ulisha wahi kujiuliza neno hilo hao wazungu walilitoata wapi, au unafikiri hicho kiingereza chao kujitoshekeza imetokea tu kikajitosheleza kwa misamiati na kila kitu? walijishughulisha ndio maana wewe leo unakuwa mtumwa kwao, kwa kufikiri lugha yako ni ya kishamba kwamba ukiwa na kiingereza kichwani wewe ni wa kisasa la! unakosea, mbona hicho kiingereza kinatumika kufundishia mashuleni lakini bado mnataga mayai viza!
 
Ukweli ni kwamba tunataka waielewe vizuri lugha na sio mada, ndo maana kuna baadhi husema ni lazima watu waijue lugha ya kiingereza ili kukabili soko la kimataifa,ndo maana hata tukienda elimu ya juu huwa tuko makini kukariri misamiati mingi ya kiingereza ili ionekane tunaimudu lugha tayari kukabili soko la nje la ajira ilihali hatuna ubunifu,tunasahau kwamba Wachina hawajui lugha nyingine zaidi ya lugha yao na wanamudu soko la nje vizuri,isipokuwa aamue kujifunza lugha nyingine kwa matumizi ya mawasiliano

safi sana mkuu, nataka watu kama nyie wenye hoja za msingi,
 
Back
Top Bottom