Lugha ya kiingreza katika kufundishia darasani

Lugha ya kiingreza katika kufundishia darasani

safi sana mkuu, nataka watu kama nyie wenye hoja za msingi,

Unataka watu km yeye uwafanyeje?
We mkulima Acha kumwaga mapovu Jukwaani. Huna lolote zaidi ya kubwabwaja. Babu yako nyerere juu ya kujifanya mzalendo lkn hakuna Hotuba yyt aliotoa bila kuchanganya na Kiingereza.
Cheza na Mkoloni wewe?
Bata mzinga.
 
skia wewe acha ubishi usiona maana yaaaani wewe na usomi wako unasema chezea mkoloni,yaani bado unamwogopa mkononi, si afadhali mie mkulima kuliko wewe msomi ambaye unatoa mifano ya j. k jukwaani, acha kushikiwa akili wewe jitegemee!
Nyerere ni kijana wa kizamani, sasa anahusikaje jukwaani, Nyerere anabaki kuwa Nyerere na wewe utabaki kuwa wewe, kijana toka nje umefungiwa mtungini hijijui!
 
Back
Top Bottom