Lugha nyingine bana

Alexism

JF-Expert Member
Aug 14, 2011
3,423
2,045
Siku moja niko na rafiki yangu tunasafiri mjini Kampala mara tukafika kituo cha kushuka tukashuka na kumpa konda pesa akawa ana chenji yakuturudishia akatwambia.. K.u.ma hao..dah nikasema what? Jamaa akaomba chenji akaturudishia.
Mara jioni tukaenda fanya zoezi soccer sehemu moja inaitwa sharing wakati ninapangwa namba jamaa..akanionesha sehem ya kusimama nakusema ..k.u.ma hao..duh mechi ikaanza basi nikawa naambiwa ..hivyo ..k.u.ma hoyo na k.u.ma hao..mzee basi nikadhani yule konda yupo uwanjani na ndo amewambia hilo neno duh k.u.ma hao ...k.u.ma hoyu usishangae ukienda kwa M7.
 
Maana yake ni subiri au chunga hapo au huyo inategemea akisema k.u.ma hao ni subiri na k.u.ma hoyo ni chunga huyo
 
hayo ni maneno tu bali maana tufauti, mbona japan kuna neno au majina kama kumamoto, takauchi, na mengine yanayoshindikana hata kutamkwa inategemea unawaza nini unapotaka sema au unapopokea ujumbe.
Kuna kabila hapa Tz Nyola maana yake mbaya sana kuitaja lakini kwa kabila lingine neno hilohilo maana yake finya, senga lina maana ya ng'ombe kwenye kabila moja na kwa jingine ni chenga hasa za mchele
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom