Lugha gani unapenda kujua kuiongea au kuandika?

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,706
Do you speak more than one language?
What language do you wish you knew?
Which do you think would be most beneficial to know (other than your country's official language)?

I speak English and Swahili......
I wish I knew Spanish or Mandarin......I think that these days even in Bongo, it's most beneficial to know any of the Romance Languages (primarily Spanish).
 
ESPARANTO is best

SALUTO!!!!
 
I speak Kiswahili and english. I will be happy if I can learn and master Chinese language and Hindu. I focused on the year 2030 where China and India I hope will be dominating all spheres of global development
 
I really wish i cud master spanish and Italian.
Nilitoa tangazo last week hapa kama kuna mtu anaweza kufundisha Espaniol, nashangaa mpaka sasa hivi no one replied. Wakuu niko Dsm hapa nahitaji tutor wa Spanish. contact me njonjo86@hotmail.com
PS;- akipatikana hata wa Italian poa tu hamna noma ila spanish kwanza
 
Kichina kwenda mbele kwani ni Lugha ya mificho,ukiijua unaweza kumfunika mtu bila kufahamu,kivipi isome utaijua,hehehehe,English na Swahili hizo ni lugha za Ofisi.
 
kichina poa ndio maana wamarekani wanajifunza ili "kupigana na wachina" tatizo kichina bwana code zake......labda nikipata mke wa kichina nitaelewa
 
Wakulu mara kibao nshakutana na misumari ya kilatino, nikitia timu tu nagundua kuwa hawapandishi kiingereza, lazima nijifunze kispanish!
 
Do you speak more than one language?
What language do you wish you knew?
Which do you think would be most beneficial to know (other than your country's official language)?

I speak English and Swahili......
I wish I knew Spanish or Mandarin......I think that these days even in Bongo, it's most beneficial to know any of the Romance Languages (primarily Spanish).

I would like kujifunza lugha ya Kijaluo...The next President of the USA is a LUO.
 
I speak Kiswahili, English and some French......
I would like to learn Spanish and Arabic..........
 
I speak Kiswahili and english. I will be happy if I can learn and master Chinese language and Hindu. I focused on the year 2030 where China and India I hope will be dominating all spheres of global development

Salute..una global persepective mkuu, nakubaliana na wewe kuwa sometimes mbeleni huko Chinese speakers watakuwa marketable zaidi.

Naoungea Kiswahili na Kiingereza, however na admire sana kukijua kihispaniola, looks to be an interesting language to me.
 
Hello

Ningependa kujua, swedish na Chiniz

Lorain,
Hej! (Mambo kwa kiswidishi). Nimekaa miaka 2 kwa WASWEDE nimeambulia kiswidishi cha kuombea maji tu na kusalimia. Sikujifunza kwa bidii kwa sababu ukitoka nje ya mpaka wa Sweden basi kiswidishi kinaishia hapo hapo. Hata wao wanajifunza kwa nguvu lugha ya kiingereza. Labda kwa vile unategemea kuoana na mswede kweli Jitahidi utakifahamu ukijifunza kwa bidii. All the best

Tuck!
 
Do you speak more than one language?
What language do you wish you knew?
Which do you think would be most beneficial to know (other than your country's official language)?

I speak English and Swahili......
I wish I knew Spanish or Mandarin......I think that these days even in Bongo, it's most beneficial to know any of the Romance Languages (primarily Spanish).

I speak swahili,sukuma,english,French and Deutsch.Ningependa sana kujifunza kiha na kispaniola
 
Spanish n French

I would love to study those two!
I love Spanish women that is why I would real love to study Spanish and have so many French Friends who speak English with difficulty and sometimes its very hard to grasp whatever they are saying!
 
Lorain,
Hej! (Mambo kwa kiswidishi). Nimekaa miaka 2 kwa WASWEDE nimeambulia kiswidishi cha kuombea maji tu na kusalimia. Sikujifunza kwa bidii kwa sababu ukitoka nje ya mpaka wa Sweden basi kiswidishi kinaishia hapo hapo. Hata wao wanajifunza kwa nguvu lugha ya kiingereza. Labda kwa vile unategemea kuoana na mswede kweli Jitahidi utakifahamu ukijifunza kwa bidii. All the best

Tuck!

Tack not tuck my dear, ni kweli nakuunga mkono this language is so hard and in the long run it will not help me when I decide to go in other countries. Any way lets try and see.

Again,
tack så mycket (thank you very much)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom