Lugalo Military medical school

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
43,384
81,192
Naomba kuuliza: Hiyo shule hapo juu inapokea wanajeshi watarajiwa au ni wanafunzi wa aina yote/wote.
Je ukiwa pale military courses/classes/kwata etc zinakuhusu kama wewe umetoka shule za kawaida?
 
Nmesoma pale miaka 4 iliyopita, siwezi kukujibu swali lako sababu naona limekaa kichochezi sana labda ubadili mtindo wa kuuliza
 
You must be crazy, how seditious is it? I want to know if military training is part of the medical curriculum. I d not want my child to undergo military training being a daughter!
 
Kwan lazima umpeleke lugalo mkuu? Swali lako umeuliza ukiwa najibu ready kichwani mwako... kwan ushawah skia mtu ana apply nacte mafunzo ya kijeshi?
 
  • Thanks
Reactions: 7ve
Sasa utakuaj daktari jeshin bila kupitia kuruta,..vita ikitokea utapiga yowe tu ama,..
Ndiyo maana nimeuliza, wanaosoma pale ni wanacombine both military training and medical training. I do not want the former! and therefore have to abandon that choice.
 
Tuache kupotosha Lugalo military medical college ni chuo kinachomilikiwa na Jeshi kinatoa mafunzo ya Afya kwa Askari pamoja na raia na hakihusishi mafunzo ya kijeshi ktk mitaala yake Jina tu linamaanisha chuo kinamilikiwa na Jeshi km vile Lugalo military Hospital ikimaanisha hospital ya Jeshi na sio hospital ya kijeshi..
 
I guess this is the correct logic behind my post! Nashukuru umenielewa. asante kwa taarifa
 
  • Thanks
Reactions: apk
Naomba kuuliza: Hiyo shule hapo juu inapokea wanajeshi watarajiwa au ni wanafunzi wa aina yote/wote.
Je ukiwa pale military courses/classes/kwata etc zinakuhusu kama wewe umetoka shule za kawaida?
Kinamilikiwa na serikali kupitia jwtz lakini kila MTU anasoma pale uwe askari au RAIA wa kawaida mambo ya
Kwata hakuna pale ni masomo kama vilivyo vyuo vingine vya afya
Omba tu mkuu
 
Hivi kinachothibitisha kuwa fulani ni certified doctor/ medecine ni nani?? Kama kuna cha kuwathibitisha, Hawa wa jeshini nao wanapita huko??
 
Naomba kuuliza: Hiyo shule hapo juu inapokea wanajeshi watarajiwa au ni wanafunzi wa aina yote/wote.
Je ukiwa pale military courses/classes/kwata etc zinakuhusu kama wewe umetoka shule za kawaida?
Nenda kairuki medical school , IMTU , bugando au muhimbili naona pata faa kama ilivyo kwa utaratibu wa jamii moja au nyingine kujiwekea utaratibu wao na wewe kama ukiupenda huo utaratibu basi ungana nao na ufuate utaratibu wao
 
hujanielewa, I am live aware of those Medical colleges, but I am inquiring about Lugalo, being a government institution at that level and based in Dar!
 
Aiseeeh,
Mleta mada u mgonvi yaani unaweza ukajitoa mhanga humu JF!!

Maana ukijibiwa usichopenda kusikia unatamani kurukia mtu!?

Kwa tabia hiyo wewe na mwanao/binti yako pale Lugalo tayari hapakufai maana siku mwanao akifail utaleta timbwili kisha jeshini watakunyosha bila vifaa vya kunyoshea wagonjwa!!

Nitarudi tena ... ... ...
 
Back
Top Bottom