Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,152
- 10,683
who is he anyway?
Ni galacticos kama wewe kule matipwili:A S 114:
who is he anyway?
memory size.....2kb; OS: MS-DOS Ver 6.0 ....Please wait.....Loading . . . . . . !
Mkuu mawazo yako ni mazuri sana lakini kuna shida katika Avatar yako. Bila shaka utakuwa unawakwaza baadhi ya wakuu wanaosoma posts zako. Tafadhali Mkuu jaribu kufanya marejeo mapya katika hiyo Avatar.
Ongezeni juhudi za kuupromote ugaidi kama mlivyoambiana kwenye ile e mail kutoka kwa michuzi kwenda kwa waikulu wenzenu...ila mwisho wake matunda yake mtayaona!!!kwa kweli masisiem mnavyofanya hakika mna upungufu wa kinga kichwani(UKIKI)ugaidi ni hatari sana kwa taifa letu. ludovick is not a good guy.
Hivi Mkuu utaendelea kukurupuka hadi lini? Tumia angalau 1% tu ya akili yako maana hapa inaonekana unatumia <0%, ubarikiwe sana.
mkuu kwani nguruwe ana shida gani kwenye avatar?? au na avatar sasa zina najisi??
ugaidi ni hatari sana kwa taifa letu. ludovick is not a good guy.
yeah wao wanaita devide and rule policy!!
Nolle prosecuer maana yake DPP hana nia temna ya kuendelea na kesi husika.hii ilitarajiwa.
Mkuu mawazo yako ni mazuri sana lakini kuna shida katika Avatar yako. Bila shaka utakuwa unawakwaza baadhi ya wakuu wanaosoma posts zako. Tafadhali Mkuu jaribu kufanya marejeo mapya katika hiyo Avatar.
Hivi Mkuu utaendelea kukurupuka hadi lini? Tumia angalau 1% tu ya akili yako maana hapa inaonekana unatumia <0%, ubarikiwe sana.
kwani mtuhumiwa anapelekwa mahakkamani kwa kelele?
Naona jamaa amechoka kweli!Haya ndiyo makelele yenyewe...
![]()
Huyu ni kijigaidi kidogo dogohuyo Ludovick ndo nani??
Kwani ye yuko gereza gani? Magaidi hapa ni Lwakatare na mwenzie Ludovick, ndio ambao wana unywa uji wa buresheikh Ilunga je!?
Jina au avarter sio kwamba yeye ni Muislam, yeye ni Mchangiaji wa JF km wengine na ameamua kuchagua jina hilo km wewe Patrice Lumumba ulivyochagua hiyo Avarter sasa usipoangalia utagombana na wengi tuHivi Mkuu utaendelea kukurupuka hadi lini? Tumia angalau 1% tu ya akili yako maana hapa inaonekana unatumia <0%, ubarikiwe sana.