Ludovick apelekwa mahakamani kimya kimya

Ludovick apelekwa mahakamani kimya kimya

Haya ndiyo makelele yenyewe...

TZ_Cleric4.jpg

naona askari wapo standby jamaa halichelewi ku'apply makarate yake hapo
 
Mkuu mawazo yako ni mazuri sana lakini kuna shida katika Avatar yako. Bila shaka utakuwa unawakwaza baadhi ya wakuu wanaosoma posts zako. Tafadhali Mkuu jaribu kufanya marejeo mapya katika hiyo Avatar.

Haiendani na Jina lake pia Mkuu.
Ndugu zetu Wachinjaji watakuwa wanakwazika sana

Mkuu Seif al Islam Do some thing
 
Last edited by a moderator:
Tundu Lisu analaumiwa na wanachadema kwa kukiri picha ni ya Lwakatare ,nakusema ni usaliti ulifanyika.

Mutaipata haswa manake hamna namna yakuendeleza kesi mumebaki kuumba maneno Lissu alikubali chumbani kwa mkeo au
 
Huyu Ludo wamemtengeneza kuichafua CDM na Rwakatare!sasa wamemtafutia njia ya kumtoa akamate chake atulie!ila sijui ataishi wapi maana dhamira itamsuta sana...amemtengeneza mwenzake na kamuuza kwa tamaa ya tumbo!
 
Mkuu mawazo yako ni mazuri sana lakini kuna shida katika Avatar yako. Bila shaka utakuwa unawakwaza baadhi ya wakuu wanaosoma posts zako. Tafadhali Mkuu jaribu kufanya marejeo mapya katika hiyo Avatar.

Hivi Mkuu utaendelea kukurupuka hadi lini? Tumia angalau 1% tu ya akili yako maana hapa inaonekana unatumia <0%, ubarikiwe sana.

we mburura kama hapo katumia 0% ya akili yake, basi akitumia 5% jk anahamia cdm.

Makoye Matale usihofu sana kuhusu Avatar zinazotumika humu. Zingine zinaeleweka kwa watumiaji tu. Zingatia zaidi ujumbe unaotolewa hapa jukwaani kwani ndo tunasema ''Great minds discuss ideas; average minds discuss events; small minds discuss people or thimgs''. Kuwa great thinker kwa kujadili ideas zinazotolewa hapa jukwaani.

mahogany kuna tofauti kubwa sana kati ya akili na matumizi ya akili.
 
Back
Top Bottom