Ludovick apata dhamana

Ludovick apata dhamana

Mbona hatusikii tena walokua wanasema CDM ni cha kikanda????
 
Awahi kwa Savimbi akachukue disturbance allowance yake.
 
Sana tu kwa kuwa aliyekuwa anamlinda bado anakadi yetu ya chama na anailipia
ludovick.jpg

Mtuhumiwa namba mbili Joseph Ludovick (kulia) akitoka nje ya Mahakama ya
Hakimu Mkazi Dar es Salaam jana baada ya kuachiwa kwa dhamana.
Kushoto ni rafiki yake, Hamfrey Masawe.

Huyu Hamfrey Masawe kwenye picha ndiye aliyemwekaa dhamana?
Amewakilisha taasisi nyeti ya umoja wawanawake?
Ametumwa pia na Yonas Savimbi?
 
Yeyote anayemjua huyo Hamfrey Masawe aweke nyuzi chache za kumjua na wengine waunganishe Dots tafadhali bandugu leteni habari zake kwani nasikia alikuwa na mawasiliano na Nchemba hivi karibuni
 
Tutajua ukweli tu nani alie mtoa hata kama ni savimbi ... Kumbuka uwt wanaripoti kwa Dr.
 
Back
Top Bottom