Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,561
- 19,059
Mkuu hoja ni deni ukaguzi wa la Taifa. Kama kina Utoh na Mengi walipiga hela NBAA kwanini wasichukuliwe hatua wakati huo? NUttoh na Mengi walipiga hela sana pale nbaa.....cpa wakawa wanafaulu wachagga tu!
Mwananchi kama wewe tu ila yeye aliwahi kupata fursa na dhamana ya kuhudumu kwenye ofisi nyeti ya CAG. Maoni yake yanachukuliwa kwa uzito mkubwaAmeunga yeye kama nani,
Halafu mpasuko wa watu 50 au 100 Vs watanzania milioni 60??? Huo ukaguzi ufanyike haraka sanaaKwani ikileta mpasuko kuna shida gani?Washangiliaji wa Magu si wanasema mtu wao alikua msafi na alikua anapambana na ufisadi,?Sasa wanalalamika nini Deni likichunguzwa?
Hahahaaaa....... Nimekumbuka tu bwashee.Mkuu hoja ni deni ukaguzi wa la Taifa. Kama kina Utoh na Mengi walipiga hela NBAA kwanini wasichukuliwe hatua wakati huo? N
CAG walikuwa akina Aboud bwashee.Mwananchi kama wewe tu ila yeye aliwahi kupata fursa na dhamana ya kuhudumu kwenye ofisi nyeti ya CAG. Maoni yake yanachukuliwa kwa uzito mkubwa
Mbona wewe ulipiga sana pesa za vitafunwa pale lumumba? Jadili hoja ya Uttoh acha bla bla...Uttoh na Mengi walipiga hela sana pale nbaa.....cpa wakawa wanafaulu wachagga tu!
Tulieni mkaguliwe,mbona mna weweseka?Hahahaaaa....... Nimekumbuka tu bwashee.
Nchi hii imejaa wezi, huyo Uttoh na Nape wanafanana tu ndio wale wale!
Unataka kusema Prof Assad alikua mtu wa tamaa za kujilimbikizia mali!!!!? Hebu ulizia historia yake kuanzia watu aliowahi kufanya nao kazi, wanafunzi wake na wote wanaomjua vyema huyu jamaa watakwambia yupo vipi kwenye suala la ethicsCAG walikuwa akina Aboud bwashee.
Kuanzia Uttoh, Assad ilikuwa ni kukomba mboga tu na kuwagombeza watoto.
Walau huyu Kichele anaonekana hana tamaa ya kujilimbikizia mali.
Bwashe mara ingine bangi inakuzongo sana, kupiga kwao hela kuliwawezeshaje wachaga kufaulu CPA? Wanawanunulia madesa?Uttoh na Mengi walipiga hela sana pale nbaa.....cpa wakawa wanafaulu wachagga tu!
Swali zuri sanaBwashe mara ingine bangi inakuzongo sana, kupiga kwao hela kunafaulishaje wachaga kufaulu CPA? Wanawanunulia madesa?
Dona kantreSafi sana madeni ya raiti traki yalikaa kiboyaboya sana.
Baada ya kufanya kazi yao kwa weledi umeona dawa ni kuwachafua?Kuanzia Uttoh, Assad ilikuwa ni kukomba mboga tu na kuwagombeza watoto.
Walau huyu Kichele anaonekana hana tamaa ya kujilimbikizia mali.
"Tunajenga kwa fedha zetu za ndani"...alisikika Chizi mmoja.Dona kantre
Nbaa kilikuwa kijiwe cha wachagga bwashee!Bwashe mara ingine bangi inakuzongo sana, kupiga kwao hela kuliwawezeshaje wachaga kufaulu CPA? Wanawanunulia madesa?