Lucy Dada nilikuona ni mtu wa usiye na makuu ila baada ya harusi yako tu hapo nikakushusha mno kwa mbwembwe zako na vijembe vyako za kuwananga wasanii wenzio, sikuwa naelewa kwanini unatukana mamba wakati hujamaliza kuvuka mto? ...... hata kama kuna watu walikukosea au walikunanga, haikuwa na haja ya wewe kuandika hisia zako katika masocial media.
Sasa na wewe umeingia katika list ya mastaa wasiotulia na waume zao, kisa cha kuvunjika ndoa yako ni zile zile sababu walizo nazo mastaa wengine, Kwa kweli wasanii wa Bongo movie mnatuaibisha sana,
Utaweza kukanusha hapa kama hizi habari ni za uongo au lah! ila nachokiongea ninauhakika wa 95% maana nimesikia kwa watu zaidi sasa, juu ya hii issue yako.
hukupenda alivyowasema wenzake ktk social media mbona na wewe unaandika mambo yake binafsi ktk social media, ungenyamaza tu kujitendea haki.
"usijifanye mstaarabu kuwa mstaarabu" by Paul Makonda
Makonda huyu mkuu wa mkoa? Kolomije primary?hukupenda alivyowasema wenzake ktk social media mbona na wewe unaandika mambo yake binafsi ktk social media, ungenyamaza tu kujitendea haki.
"usijifanye mstaarabu kuwa mstaarabu" by Paul Makonda
Tuliza mzuka DadaWe Bashite nilijua ni mjanja na bongo imekaa mahari yake. duh! na ukome kunicoment nyuma ktika post zangu, fake mkubwa wewe
Kaugua tetekuwanga siku za karibuni nini?