Sumba-Wanga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 5,353
- 1,235
Dada Lucy,
Nakupa shavu kwa ku-promote Tanzanians (bongo Movies) kwenye DSTv.
Lakini, nina Machache kuhusu quality of these films. Kwanza kabisa, kiingereza ambalo ni tatizo kubwa sana kwa watanzania. Kiingereza kinachotumika... leaves a lot to be desired. Dada Lucy, hulioni hilo? Kinachoongelewa kwenye films na kinachoandikwa ni tofauti kabisa! Kwani hawawezi kabisa kuwaelekeza wapeleke kwa editoirs wazuri kupunguza umaimuna? Kwa kweli, ukizingatia kuwa hizo series zinaangaliwa Africa nzima, kwa kweli ni aibu kubwa sana.
Naomba nisizungumzie quality and themes of those films....
Mwisho kabisa, napenda sana kuwapongeza kwa kazi nzuri, big up, ila tunaomba mrekebishe hayo machache......
Mbona huyo lucy kashaondoka Dstv kitambo
Ni kwanini nafasi ile akapewa Barbara Kambogi ile nafasi hakuna mtanzania mwenye qualification kweli. Haya ndio mambo hatuyataki na katika katiba mpya lazima yabainishwe. Wana tujazia wakenya tuu utadhani Barclays hapa, wakajazane Kenya commercial bank maana ni benki yao. Mi napinga kabisa wageni kuchukua ajira zetu.

ni kwanini nafasi ile akapewa barbara kambogi ile nafasi hakuna mtanzania mwenye qualification kweli. Haya ndio mambo hatuyataki na katika katiba mpya lazima yabainishwe. Wana tujazia wakenya tuu utadhani barclays hapa, wakajazane kenya commercial bank maana ni benki yao. mi napinga kabisa wageni kuchukua ajira zetu.
Mbona wewe mwenyewe unahitaji kushauriwa juu ya matumizi mazuri na sahihi ya lugha kuliko hao waandaaji wa hizo movie za kibongo?
Hata mimi nashangaaa Lucy na Dstv wapi na wapi?? nafasi ya lucy inashikiliwa na Barbra Kambogi na Lucy yupo Starndard Chatered i think..sina hakika sana
Ni kwanini nafasi ile akapewa Barbara Kambogi ile nafasi hakuna mtanzania mwenye qualification kweli. Haya ndio mambo hatuyataki na katika katiba mpya lazima yabainishwe. Wana tujazia wakenya tuu utadhani Barclays hapa, wakajazane Kenya commercial bank maana ni benki yao. Mi napinga kabisa wageni kuchukua ajira zetu.
hizi movie za kibongo wanaigana halafu waigizaji wanaigiza kwa jazba mpaka wanaboa unaweza ukanunua movie kwa kuvutiwa na kava lake ila weka uanze kuangalia vituko vitupu
Mtoa uzi vp mbona umekimbia? Lucy mbona kashasepa mda mrefu hapo,pia na wewe unaitaji ushauri maana unaonekana ni mtu wa kukurupuka!!
Ukweli utabaki kuwa ukweli hatuhitaji wageni nchini kwetu tunahitaji rare proffessionals kwenye nafasi za kazi ambazo watanzania tumekosekana watu kama Laboratory engineers etc. Huyu Barbara ni mkenya na alikuwa DSTV kenya usiwe mbishi angalia source yako vizuri. Nenda Botswana halafu uoe raia uone kama utapata kazi kisenge senge.
This is exactly what I was referring when I said... I do not want to touch the themes and quality of the movies...
JAmani, jamani, jamani, we need to change.....
Director : Vincent Kigosi
Producer: Vincent Kigosi
Script writer> Vincent kigosi
It is endless........