nna bahati sana mimi. Nadhani Mungu ananipendelea kabisa.
Nkianza kutaja hapa ntaonekana naringa buree.[/QUOTE]
Nani atakuona bana??
We share kidogo....
Mungu ni mwema kwangu kila wakati, amenipigania mambo mengi, na ni kwa neema zake tu nafanikiwa.
Nadhani kila mtu amepewa neema zake za mafanikio.
Yote kwa yote Mungu ndo mpaji. Tumshuruku kwa kila jambo.
Maisha ni kupambana bila kuchoka,mi mwenyewe nimepitia kwenye magumu kiasi kwamba unaona hufanikiwi lakini kutoka na uvumilivu unajikuta unafanikiwa,uvumilivu ukikushinda unatafuta njia mbadala bila na ukiwa na nia utafanikiwa,usikimbie changamoto za kimaisha,ukizikimbia hata utakapoenda utakutana nazo pia.Kwahiyobila kukata tamaakwenye maisha unaweza ukawa mwenye bahati.
Inategemeana na moyo wa mtu jinsi ulivyo,mwingine anaweza akakutana na sitution ngumu na sio mrahisi wa kukata tamaa hata kama haoni mwanga,mwingine ana moyo mwepesi na mlaini kwahiyo hawezi kuchukuliana na ugumu unaomkabili,hapo ndo athari kubwa inapompata.Nimependa mtazamo kuhusu maisha ila nadhani unachangiwa na ukweli kwamba umeweza kupigana mpaka ukafika sehemu unayoona umeweza. Ila kwa mtu ambae bado anapigana na mpaka sasa bado hajaona mwanga unadhani anaweza kuchukulia maisha kama ufanyavyo wewe??Maana wewe tayari unajua kwako inawezekana....ila kwa yule asiyejua je?
Hi guys!!
Najua kwamba wote tuliomo hapa tumeshaishi na kujifunza mambo mawili matatu kuhusu maisha.
Katika maisha yako so far ni lazima umeshapata mafanikio makubwa au madogo ...umeshashindwa
kwenye mambo makubwa au madogo nk.Yani kwa kifupi umeshaonja matamu na machungu ya maisha
iwe sana au kidogo.
Swali langu ni je mpaka hapo ulipofikia je unajiona/jichukulia kwamba wewe ni mtu mwenye bahati au
mtu asie na bahati???Kwanini unajichukulia hivyo??
Nimejisikia kuuliza kwasababu wapo watu ambao hua wanajiona wasio na bahati kabisa mpaka pale
wanaposikia/shuhudia ugumu waliopitia wengine na kugundua kwamba wao hawana haki ya kulalamika m
bele ya hao wengine. Kwahiyo nataka tuweze kushirikishana uzoefu wetu maana nna hakika kila mmoja a
tajifunza toka kwa mwenzake.
C'est la vie

kuna mtu kila kukicha anapenda kusema "lucky is when opportunity meets preparation.." kwa mantiki hiyo nimejikuta nikiamini kuwa siyo kwamba ni bahati bali jitihada pamoja na maandalizi ndo yanayotufanya tuwe pale tulipo, tofauti na hapo tutatumia kauli "sina/huna/hana bahati" kufunika uvivu wetu!
Mkurugenzi wa Lena Event inayoandaa Miss East Africa Lena Calist akionyesha gari aina ya Range Vogue Sport lenye thamani ya dola za Kimarekani 165.000 litakaloshindaniwa katika bahati nasibu ya Miss East Africa...
kasafishe nyota.Me nina nux ktk maisha,hakuna jambo ninalolifanya likafanikiwa.