VOICE OF MTWARA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 3,121
- 2,235
wadau naomba tutoe maoni yetu kuhusu nani mkali zaidi ya mwenzake kati ya magwiji hawa wawili wa reggae, alfa blondy na lucky dube.
baadhi ya nyimbo za alfa blondy
1. jerusalem
2. masada
3. aPartheid is nazism
4. Peace in liberia
na hizi ni baadhi ya nyimbo za dube
1. Prisoner
2.remember me
3. together as one
4. slave
baadhi ya nyimbo za alfa blondy
1. jerusalem
2. masada
3. aPartheid is nazism
4. Peace in liberia
na hizi ni baadhi ya nyimbo za dube
1. Prisoner
2.remember me
3. together as one
4. slave