Lucky Dube vs Alfa Blondy nani mkali zaidi katika reggae?

Hivi Ukizungumza Kuhusu Ujumbe... Dube anaweza sogeza pua hata Burning Spear...
He's good But not the best...
Burning Spear anaimba kila wakati kuhusu Marcus Mosiah Garvey na Haile Selassie I.Pia kila wakati anaimba kuhusu kurudi Afrika wakati miaka inaenda yupo Jamaica. Hakuna meseji katika nyimbo za Winston Rodney zaidi ya Going back to Africa
 
Alpha Blondy: Marley & Spare Got Me A Job

Alpha Blondy is the biggest name in Reggae from the Ivory Coast, he is an international superstar in Reggae. He headlined opening night at the Abi Reggae festival and we spoke to him after his performance.


Source: Onstage TV
 
Alfa yuko vzuri sana!..walioanza kuangalia na kusikiliza rege miaka ya 2000 lazma waseme dube!
Alfa(roots) and that is the real and true reggae!

lucky(roots anachanganya na sweet reggae)
 
Alpha Blondy mkali sana. Ila Lucky Dube alikuwa anajua anachokifanya. Nina Album kibao za Alpha Blondy,ila nikiskia wimbo wa Dube napause 4 a while.

Umeniweka njia panda kuniambia nipige kura,sina jinsi kumpatia mmoja.

Kura yangu inaangukia kwa Dube.
 
Alpha blondy yupo juu sana... Mtaalam Wa lugha mtu Wa dini zote. Sebbe Allah , Jerusalem . ididja _ , babako salama bako adanae.

Dube yupo poa ila hajawahi kimzidi Teja Alpha Blondy
 
Alfa yuko vzuri sana!..walioanza kuangalia na kusikiliza rege miaka ya 2000 lazma waseme dube!
Alfa(roots) and that is the real and true reggae!

lucky(roots anachanganya na sweet reggae)
Dube ni roots mixed with kwaito vinanda kwa wingi siyo sweet, sweet wanafanya wakina UB40, Big Mountain, Kelvin Little na wengineo
 
Alpha blondy yupo juu sana... Mtaalam Wa lugha mtu Wa dini zote. Sebbe Allah , Jerusalem . ididja _ , babako salama bako adanae.

Dube yupo poa ila hajawahi kimzidi Teja Alpha Blondy

Mkuu Duduwasha,
Na kwa kuongezea bandiko lako muhimu hapa JF, list ya nyimbo na albums zenye kuelezea maudhui mbalimbali yanayogusa changamoto ktk dunia yetu na kunukuliwa na wanazuoni mbalimbali tajwa duniani, wana JamiiForums tusome hapa chini:

Source: Reggaeville

Best known songs

His first success was Brigadier Sabari. Some representative songs are :

  • "Sebe Allah Y'e
  • "Jah Glory – in which he sings against poverty
  • "Apartheid is Nazism"
  • "Brigadier Sabari" – satirical lyrics about police brutality.
  • "Cocody Rock" – has become an Alpha Blondy anthem, which everyone knows and sings
  • "Guerre Civile" – about civil war
  • "Jerusalem" – a call for peace. The lyrics begin with a prayer in Hebrew
  • "Journalistes en danger" – about the assassination of Norbert Zongo
  • Politiqui" – about civilian / military government alternance
  • "Yitzhak Rabin" – written in 1995, following the assassination of Israeli Prime Minister Yitzhak Rabin, and dedicated to him.
  • "Sweet Fanta Diallo"
  • "Téré"
  • "Blesser"
  • "Rasta Poué"
  • "Ethiopia De Eli Boy HAg"
Discography
Studio albums
Source: Alpha Blondy
 
lucky ananyimbo nyingi nzuri na zinaujumbe but kilicho mshusha niile skendo yakumuua mwana regge mwenzie 'senzo'so hii ilmpunguzia mashabiki na umaarufu pia wengi walmdisi kuwa sio real rasta..alpha yuko juu.
 
Nyie acheni utani kumlinganisha Lucky Dube na Alfa.......mi hata nilikuwa nashindwa kumpata mshindi kati ya Bob Marley na Lucky Dube........ila Bob uanaharakati ndio uliokuwa unambeba sana na kuonekana mkali......ila acheni masihara Lucky Dube was the best in Africa ever.........R.I.P!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom