Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 5,327
- 8,282
Tisss mwandamiziGTs,
Naomba kuuliza hivi Lucas Mwashambwa ni nani? Maana enzi zile za Dkt Kikwete Malaria Sugu tulihangaika naye sana ila akaja kupotea, akaja FaizaFoxy naye akasumbuaaa, sasa hili li mtu linaitwa Lucas Mwashambwa ni nani?
Ni lijitu la mbozi huko!GTs,
Naomba kuuliza hivi Lucas Mwashambwa ni nani? Maana enzi zile za Dkt Kikwete Malaria Sugu tulihangaika naye sana ila akaja kupotea, akaja FaizaFoxy naye akasumbuaaa, sasa hili li mtu linaitwa Lucas Mwashambwa ni nani?
Ni jamaa flani huwa anahara kwa kutumia mdomo, tusimpe airtime hapa, ni wa kumpuuzaGTs,
Naomba kuuliza hivi Lucas Mwashambwa ni nani? Maana enzi zile za Dkt Kikwete Malaria Sugu tulihangaika naye sana ila akaja kupotea, akaja FaizaFoxy naye akasumbuaaa, sasa hili li mtu linaitwa Lucas Mwashambwa ni nani?
Jitu la mpakani na Zambia huko!Hakuna Mwashambwa kanda ya ziwa mkuu tafadhari
Lukas Mwashambwa!
ANazani kutoka mbozi itaka ndani uko songwe
Wa whombozi!Acha uongo wako hapa wewe tapeli mkubwa wewe
Kumbe anashiba vya wanafunzi!Ni mpishi shule ya wasichana Nzove.
Mimi nimesha click ignore kwenye jina la Lucas kwa sasa sioni threads zakena sina mpango naye.GTs,
Naomba kuuliza hivi Lucas Mwashambwa ni nani? Maana enzi zile za Dkt Kikwete Malaria Sugu tulihangaika naye sana ila akaja kupotea, akaja FaizaFoxy naye akasumbuaaa, sasa hili li mtu linaitwa Lucas Mwashambwa ni nani?
Ni ng'ombe mmoja aliyejikuta tu kwa bahati mbaya ameletwa hapa duniani akiwa na mfanano wa binadamu. Ila ukimfanyia tathmini ya akili yake, utagundua hana tofauti kabisa na huyu mnyama anayeitwa NG'OMBE. 🐄GTs,
Naomba kuuliza hivi Lucas Mwashambwa ni nani? Maana enzi zile za Dkt Kikwete Malaria Sugu tulihangaika naye sana ila akaja kupotea, akaja FaizaFoxy naye akasumbuaaa, sasa hili li mtu linaitwa Lucas Mwashambwa ni nani?
Mashoga mnateteana.Mzalendo mwenye misimamo.